Kutokana na hilo basi si mlemavuUlemavu ni hali ya kuwa na hitilafu ya kudumu mwilini au akilini inayomzuia mtu kutekeleza shughuli zilizo kawaida katika maisha ya jamii. Unamwekea mtu mipaka asiweze kutekeleza shughuli fulani katika maisha yake, tofauti na watu wengine.
© 𝐖𝐢𝐤𝐢𝐩𝐞𝐝𝐢𝐚
Kwa mtazamo wangu mlemavu ni mtu mwenye upungufu wa kiungo/viungo au upungufu wa utendaji kazi wa kiungo/viungo.𝐍𝐢𝐧𝐢 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐮𝐥𝐞𝐦𝐚𝐯𝐮 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐭𝐚𝐳𝐚𝐦𝐨 𝐰𝐚𝐤𝐨?
😅 😅 😅 😅mwambie wewe na yeye mchukue watoto wadogo wasio zidi mwaka mmoja na nusu kiumri mtoke njee muda wa saa sita na nusu mchana alafu kila mtu amrushe juu yule mtoto kama kucheza nae hivi huku unamdaka na kumrusha tena juu...sikufichi mtoto aliye Rushwa na albino utasikia puu...na kilio kisicho cha haja...huku yeye akiwa bado anatizama juu kumsubiri mtoto ili amdake...jaribuni afu mtaleta mrejesho hapa
Kwahiyo hapo tatizo ni macho au ngozi?ni mlemavu wa ngozi.
niliwai miliki pisi moja matata sana ila alikua na uoni hafifu,baadae nikagundua kuwa albino wengi wanachangamoto za kuona.
Wajibu wenye uwalbino wanajichulia kama walemavu au?Habari wa JF wenzangu, juzi kati nilimuona mtangazaji mmoja wa Wasafi FM mwenye ualbino(simkumbuki jina) alikuwa akizungumza na Makonda akadai yeye anapinga watu wenye ualbino kuitwa walemavu kwa sababu tu ya ngozi yao labda awe na ulemavu mwingine tofauti na akasema yeye anashangaa aina hiyo ya ulemavu unatambuliwa sehemu na sehemu akatoa mfano mtu mwenye ualbino akiwa Tanzania anaitwa mlemavu lakini akiwa Uingereza sio mlemavu kwamba huko atambuliki kama ni mlemavu japo sina uhakika na huo mfano wake lakini je wewe binafsi unaona mtu mwenye ualbino ni mlemavu?
Mkuu tunajaribu kudadavua kwa mifano😅 😅 😅 😅
Watu mna matusi
Huenda baadhi yao wanachukulia kama ni fursa.Wajibu wenye uwalbino wanajichulia kama walemavu au?
Jua linakua kikwazo kwa albino muda wote. Nadhani unaweza kukubali kama albinism ni ulemavu wa ngoziUlemavu ni hali ya kuwa na hitilafu ya kudumu mwilini au akilini inayomzuia mtu kutekeleza shughuli zilizo kawaida katika maisha ya jamii. Unamwekea mtu mipaka asiweze kutekeleza shughuli fulani katika maisha yake, tofauti na watu wengine.
© 𝐖𝐢𝐤𝐢𝐩𝐞𝐝𝐢𝐚
ni ulemavu wa ngozi.Kwahiyo hapo tatizo ni macho au ngozi?
Wanatakiwa wapake wanja ili waone kope zao ni nyeupe ndo maana wana uoni hafifu, au wavae mewani ya juani mlemavu wa ngozi.
niliwai miliki pisi moja matata sana ila alikua na uoni hafifu,baadae nikagundua kuwa albino wengi wanachangamoto za kuona.