Mtu mwenye Ualbino ni mlemavu au sio mlemavu?

Wanatakiwa wapake wanja ili waone kope zao ni nyeupe ndo maana wana uoni hafifu, au wavae mewani ya jua
kwenye miwani najua ila hili la wanja ndio nalijua leo,ingawa yule manzi alikua akipaka sana wanja hasa kope za chini.
 
Wote huko juu mmejibu vizuri.
Ualbino ni moja ya aina za ulemavu kama mlivyokwisha kutoa tafsiri mbalimbali.

Ili kuthibitisha hilo ndio maana huwa wanatumia vifaa saidizi kama kofia na mafuta maalum ili angalau kuendana na watu wengine wasio na changamoto.
Hii ni sawa na mlemavu wa viungo anapotumia kiti mwendo (wheel chair) ili kujongea sawa na mtu mwingine au mtu asiyeona anapotumia fimbo (white cane) kama mbadala wa macho ili aendane na watu wengine.
 
😀😃😄😁😆😅🤣😂 we msenge muongo
 
🤣 🤣 🤣
 

Kulikua na ulazima wa kutoa mfano wa mtoto? Ungesema hata mpira tu ingetosha, halafu unahamasisha watu wakajaribu unataka mtoto aliyebebwa na Albino afe au apate madhara?
 
Uwiiiiiii nimecheka hadi nimepaliwaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Tabia yako mbaya sana kucheka watu walemavu..
 
Kulikua na ulazima wa kutoa mfano wa mtoto? Ungesema hata mpira tu ingetosha, halafu unahamasisha watu wakajaribu unataka mtoto aliyebebwa na Albino afe au apate madhara?
Mkuu kwa mfano nilio utoa ni kwamba mtoto utasikia puu na kilio cha haja huku albino akiwa amenyoosha mikono yake akimsubiri mtoto amdake...sasa wewe umempa shutuma ya moja kwa moja kuwa albino kaua mtoto...aisee hizo dhwmbi zichu
 
Uwiiiiiii nimecheka hadi nimepaliwaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Tabia yako mbaya sana kucheka watu walemavu..
Mkuu ulemavu hauchekwi
 
Mbona mwanya na dimples navyo ni vilema?
 
[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 

Jamaaa umenichekesha kinoma,😁.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…