The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Pia waarabu wanazo mbwembwe pia, mtu mweusi na waarabu tofauti yao ni ndogo mnoInasikitisha sana , wengi wapo hivyo Waarabu tupo simpo tu.
Nyie miarabu mieusi mnapenda show off za Sijdah. Mnashindana kuwa na misijdah miikuubwaa kama chapati kwenye paji zenu nyeusi.Inasikitisha sana , wengi wapo hivyo Waarabu tupo simpo tu.
πππNyie miarabu mieusi nnapenda show off za Sijdah. Mnashindana kuwa na misijdah miikuubwaa kama chapati kwenye paji zenu nyeusi.
Adiosamigo Jagina
Weka picha mkuu π€£Naunga mkono hoja
Weka picha mkuu π€£
Unga vizur kabisa usije kukatika hata kwa msumeno...Naunga mkono hoja
Wakati nilikuwa na ban nilikuwa natokaga na Busu la Kengeπππ
The Mongolian π
Upooo ulipotea
Sikatiki hata kwa MunduUnga vizur kabisa usije kukatika hata kwa msumeno...