Mtu mweusi akikamata pesa ndefu anakuwa limbukeni

Mtu mweusi akikamata pesa ndefu anakuwa limbukeni

Ni ujinga tu na ulimbukeni, Kuna Uzi mmoja Jana nimeona jamaa katupia clip masikini mmoja akihojiwa kwamba ikitokea vuu akajishindia kitita Cha mil mbili atafanya Nini?... (Mil 2) Imagine!!!

Akajibu Cha kwanza anaachana na mpenzi wake kwamba tayari atakuwa si level zake. Sasa mtu kama huyo akiotea maokoto marefu si atasumbua sana waungwana?. Na pesa nayo inaangalia pa kutua haiwezi kukita nanga kwa wapuuzi kama hao na hata ukiziotea zitapotea kama ulivyozipata na utarudi zero
 
Hapo kila sosho media ni kutafuta attention msaada kwa nduguze hana anaziponda weee na wadada wa mjini zikipepea ndio anarudi alikopasahau
 
Back
Top Bottom