Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

Mnawaza ujinga tu,
Binafsi sina haja ya kukutana na mtu yeyote humu jf kwani haina maana kwangu na pia haina manufaa kivyovyote vile , weka mada nichangie naweka mada changia ila maswala ya sijui kuonana fanyeni nyie watoto tu.
 
Nimekutana na watu very potential ndani ya forum na tumefanya mengi ya manufaa.... HAWAKUWA WATOTO
 
Back
Top Bottom