Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno mazuri sana toka kwa binti mzuri [emoji4]Usijali Antonio ikitokea tukaonana itakuwa zaidi ya dakika chache
UsijaliAllah na ajalie iwe hivyo Ukhuty
Nimekutana na watu very potential ndani ya forum na tumefanya mengi ya manufaa.... HAWAKUWA WATOTOMnawaza ujinga tu,
Binafsi sina haja ya kukutana na mtu yeyote humu jf kwani haina maana kwangu na pia haina manufaa kivyovyote vile , weka mada nichangie naweka mada changia ila maswala ya sijui kuonana fanyeni nyie watoto tu.
Mkuu kila mtu na imani yake binafsi sina imani na stranger hata siku moja.Nimekutana na watu very potential ndani ya forum na tumefanya mengi ya manufaa.... HAWAKUWA WATOTO