Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
😂😂😂 Mwamba kapewa mtonyo aje na treni chuo sio gar tena“Baba, Berlin ni jiji lenye kupendeza sana, na watu wananihurumia sana, lakini ninajisikia aibu ninapofika chuo kikuu kwa gari langu la Range Rover. huku maprofesa wangu wakuu wakifika kwa treni."
Magical power mbona kama vile mi sijakuelewa hebu nifafanulie kidogo pia hata hyo picha uliyoiambatanisha kwenye habari yako ndo kwanzaa imezidi kunipoteza kabisa.
NAKAZIA HAPA“Baba, Berlin ni jiji lenye kupendeza sana, na watu wananihurumia sana, lakini ninajisikia aibu ninapofika chuo kikuu kwa gari langu la Range Rover. huku maprofesa wangu wakuu wakifika kwa treni."
Magical power mbona kama vile mi sijakuelewa hebu nifafanulie kidogo pia hata hyo picha uliyoiambatanisha kwenye habari yako ndo kwanzaa imezidi kunipoteza kabisa.