Mtu tuloaminishwa anauweza Urais Mwaka 2020 ndo wale wale wanatwambia haiwezi nafasi ya uenyekiti wa chama? Au

Mtu tuloaminishwa anauweza Urais Mwaka 2020 ndo wale wale wanatwambia haiwezi nafasi ya uenyekiti wa chama? Au

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Je mbowe kutogombea Mwaka 2020 ni kwasababu aliona Lissu anafaa? Au ni kwasababu ali Hofia nguvu ya Magufuli kwamba itakuwa kazi bure ngoja tuweke mgombea yeyote yule kukamilisha ratiba?

Iweje Kama Lissu alifaa kwanini leo wanasema hawezi uenyekiti?

Britanicca
 
Ngoja waje wafuasi wa hicho chama kukaza shingo huwaambii chochote kuhusu chama chao na mwenyekiti wao
 
Kwamba agombee Urais akiwa pia mkt wa chama 2025?

Hilo haliji Kutokea.

Nadhani ni mikakati wa mkt Mbowe kugombea Urais 2025.
 
Wanaosema hawezi ni wanufaika wa mfumo mfu uliopo chadema

Machawa sio tu kwa Samia wapo mpaka upinzani

Lissu akomae nao wahuni wameteka chama tujue Kama ni Mali ya familia au ni chama Cha umma kweli!!
Chawa walishaona wanawamudu watanzania katika nyanja zote.
 
Ndiyo definition ya MANYUMBU kaka. Hayaelewekagi.
 
Je mbowe kutogombea Mwaka 2020 ni kwasababu aliona Lissu anafaa? Au ni kwasababu ali Hofia nguvu ya Magufuli kwamba itakuwa kazi bure ngoja tuweke mgombea yeyote yule kukamilisha ratiba?

Iweje Kama Lissu alifaa kwanini leo wanasema hawezi uenyekiti?

Britanicca
Wakina nani wanasema Lissu hawezi uenyekiti??
 
Maoni yako ni kama yangu!!! Mbowe anagombea urais mwakani
Mbowe angeweza tu kugombea akitaka sio lazima hii drama kufanyika ili agombee.

Alishawahi gombea akiwa mwenyekiti hivyo hata sasa bado anaweza.

Lisu ndio anatafuta gia ya kutokea maana naamini kumuondoa Mbowe kwenye nafasi yake sio kazi rahisi, hata kidogo.
 
Je mbowe kutogombea Mwaka 2020 ni kwasababu aliona Lissu anafaa? Au ni kwasababu ali Hofia nguvu ya Magufuli kwamba itakuwa kazi bure ngoja tuweke mgombea yeyote yule kukamilisha ratiba?

Iweje Kama Lissu alifaa kwanini leo wanasema hawezi uenyekiti?

Britanicca
Hapa ndipo patamu sasa. Wakisema LISSU hawezi na wakamkata basi wategemeee kuwa kama CUF
 
Back
Top Bottom