Mtu tuloaminishwa anauweza Urais Mwaka 2020 ndo wale wale wanatwambia haiwezi nafasi ya uenyekiti wa chama? Au

Mtu tuloaminishwa anauweza Urais Mwaka 2020 ndo wale wale wanatwambia haiwezi nafasi ya uenyekiti wa chama? Au

Mbowe angeweza tu kugombea akitaka sio lazima hii drama kufanyika ili agombee.

Alishawahi gombea akiwa mwenyekiti hivyo hata sasa bado anaweza.

Lisu ndio anatafuta gia ya kutokea maana naamini kumuondoa Mbowe kwenye nafasi yake sio kazi rahisi, hata kidogo.
Mambo hubadilika, mwaka 2005 chama hakikuwa na lolote, walikuwa wanatafuta mileage bado!!!

Mbowe alipata kura 600k tuu, hata lipumba alimpiga!!!, Kwa mwaka ujao mbowe anataka kupata wabunge wengi kwa kuzingatia ushauri wa paskal mayala!!!

Nia na malengo ni kwamba mwaka 2030, lisu anapita kwa ulaini kwa ushauri uleule wa paskal mayala
 
Je mbowe kutogombea Mwaka 2020 ni kwasababu aliona Lissu anafaa? Au ni kwasababu ali Hofia nguvu ya Magufuli kwamba itakuwa kazi bure ngoja tuweke mgombea yeyote yule kukamilisha ratiba?

Iweje Kama Lissu alifaa kwanini leo wanasema hawezi uenyekiti?


Britanicca
Hii hoja sijui watu wanaijibuje?
 
Lissu amepikwa na ameiva na niwakati muafaka wa Lissu kutuongoza.

Mungu ambariki ashinde🙏🏼
 
Back
Top Bottom