britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Four r zinaleta hofi itakuwaje sasaNi Mtihani kwa kweli 🐼
Chawa walishaona wanawamudu watanzania katika nyanja zote.Wanaosema hawezi ni wanufaika wa mfumo mfu uliopo chadema
Machawa sio tu kwa Samia wapo mpaka upinzani
Lissu akomae nao wahuni wameteka chama tujue Kama ni Mali ya familia au ni chama Cha umma kweli!!
Mbowe alipogombania uraisi alikuwa na nyadhifa gani ndani ya chama?Kwamba agombee Urais akiwa pia mkt wa chama 2025?
Hilo haliji Kutokea.
Nadhani ni mikakati wa mkt Mbowe kugombea Urais 2025.
Mbowe wakati anagombea mwaka 2005 alikuwa Nani ?Kwamba agombee Urais akiwa pia mkt wa chama 2025?
Hilo haliji Kutokea.
Nadhani ni mikakati wa mkt Mbowe kugombea Urais 2025.
2005 na 2025 mazingira kisiasa Si sawa.Mbowe wakati anagombea mwaka 2005 alikuwa Nani ?
Wakina nani wanasema Lissu hawezi uenyekiti??Je mbowe kutogombea Mwaka 2020 ni kwasababu aliona Lissu anafaa? Au ni kwasababu ali Hofia nguvu ya Magufuli kwamba itakuwa kazi bure ngoja tuweke mgombea yeyote yule kukamilisha ratiba?
Iweje Kama Lissu alifaa kwanini leo wanasema hawezi uenyekiti?
Britanicca
Kwamba agombee Urais akiwa pia mkt wa chama 2025?
Hilo haliji Kutokea.
Nadhani ni mikakati wa mkt Mbowe kugombea Urais 2025
Mbowe angeweza tu kugombea akitaka sio lazima hii drama kufanyika ili agombee.Maoni yako ni kama yangu!!! Mbowe anagombea urais mwakani
Ww huna akili2005 na 2025 mazingira kisiasa Si sawa.
Hapa ndipo patamu sasa. Wakisema LISSU hawezi na wakamkata basi wategemeee kuwa kama CUFJe mbowe kutogombea Mwaka 2020 ni kwasababu aliona Lissu anafaa? Au ni kwasababu ali Hofia nguvu ya Magufuli kwamba itakuwa kazi bure ngoja tuweke mgombea yeyote yule kukamilisha ratiba?
Iweje Kama Lissu alifaa kwanini leo wanasema hawezi uenyekiti?
Britanicca