Mtu tuloaminishwa anauweza Urais Mwaka 2020 ndo wale wale wanatwambia haiwezi nafasi ya uenyekiti wa chama? Au

Mambo hubadilika, mwaka 2005 chama hakikuwa na lolote, walikuwa wanatafuta mileage bado!!!

Mbowe alipata kura 600k tuu, hata lipumba alimpiga!!!, Kwa mwaka ujao mbowe anataka kupata wabunge wengi kwa kuzingatia ushauri wa paskal mayala!!!

Nia na malengo ni kwamba mwaka 2030, lisu anapita kwa ulaini kwa ushauri uleule wa paskal mayala
 
Hii hoja sijui watu wanaijibuje?
 
Lissu amepikwa na ameiva na niwakati muafaka wa Lissu kutuongoza.

Mungu ambariki ashinde🙏🏼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…