Mtu unajirekodi chumbani ili iweje? Nina uhakika Aslay na Lukamba wameteswa sana kisaikolojia kusubiri kuziona dhambi zao zilizovuja

Mtu unajirekodi chumbani ili iweje? Nina uhakika Aslay na Lukamba wameteswa sana kisaikolojia kusubiri kuziona dhambi zao zilizovuja

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Inasikitisha lakini ni funzo kwamba siri za chumbani ziishie chumbani

Mnaojirekodi vyumbani video zenu hazipo salama kwa asilimia 100 kama mnavyojidanganya, Simu yako ikiibiwa inaweza kuwa unlocked kwa software, Umeenda kuprint pdf stationery wezi wa data wananyonya folder zima la camera, umemuachia mtu kidogo simu yako kahamisha video, wewe upo makini ila video umemtumia mwenzako mzembe zinaanza kusambaa, n.k.

Sasa vuta taswira ikiwa video yako imemfikia mvujishaji alafu anasema ataitoa baada ya mwezi, hii inaitwa countdown, haya ni mateso makali sana kisaikolojia na hapo bado haijavuja, siku 2 kabla haijavuja huwezi pata usingizi, siku ikivuja utakuwa na wakati mgumu sana my friend, hata kama utajifanya everything is ok.

Unaweza kuzuga kama Lukamba kwamba hakuna kitu kimetokea unaweka picha za kutabasamu na kweli hii mbinu inafanya watu nao wapotezee lakini sio kwa watu wa karibu mnaoheshimiana

Kwa watu wa karibu unakuwa umejishusha sana heshim, watu hawa ni watoto wako, Wazazi wako, ndugu zako, mke wako, watu mnaoheshimiana, n.k
 
Huwa nashangaa mtu anajirekodi Ili iweje....nimeshindwa kuelewa kabisa kabisa....sijawahi kuelewa ....Ati mtu anakwambia nakurecord au turecord! Na wewe unakaa kutulia mrecord......labda camera iwe imetegwa ......vinginevyo sijawahi kuelewa.
 
hahaaaaa!! Pepo la ngono halijawahi kumwacha raia salama hata siku moja.

Nilkiuwana video ya mke wa mtu nilimwomba nione kama yaliyomo yamo. Akajirekodi full.

Nilimtesa mbaya. Nilimwambia anipe tigo alisema yuko tayari. Nikakabadili msimamo, nataka pesa. Alinipa kama nilivyotaka. Baadaye niliamua kupiga mpunga. Hadi leo kawa mtumwa kwa vizawadi ilimradi asiniudhi nisijemwaga mzigo.
 
Matumizi mabaya ya hisia.... unaoneaje huruma watu waliojirekodi wenyewe na kwenda kuuza ili wapate maokoto? Ni biashara hiyo buda
Wa nyalandu tu ndo kaukatili naona kaamua apige kimya
 
Back
Top Bottom