Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu

Sasa unakuta mke wa mtu pisi ya maana na anajileta mwenyewe huku akilalamika kuwa ana upwiru acheni utani huyu ana haki ya kupata atakacho usimnyime mama kama huyo utamu muupe kama woote kwanini ateseke na akati mabereru tupooo mie mnisamehe siwezi muacha mtu aumwe kiuno
 
Mm binafsi mwanamk akisema anaye mume au mchumba, bas siwez tena kua na hisia nae za kumtongoza..
 
Sasa kumuheshimu mtu na yeye kutomba mtu mzima mwenzie Kuna uvunjifu upi wa heshima?
 

Kwanini mwanamke asikatae?
Kwani amebakwa?
Hapo mwanamke ndie kaamua kumkubalia.
Mwanamke anauwezo wa kukubali au kukataa.
Kwanini akibali?
Usimlaumu mkwezi nazi imeliwa na mwezi.
 
Kama unamfahamu, mwite pembeni umkanye kistaarabu kuwa afanyavyo si vyema. Nje ya hapo na wewe ni mshiriki wa huo uovu.
 
Unataka agonge mke wa Mbuzi! Kizuri kula na mwenzio ukiwa na mke uso kauzu shape bovu hilo utakuwa pekee yako mpaka ukome, tena lina kuroga usije kimbia.
 
Wanawake wa kichaga waamekuja juu sana siku hizi, mimi kuna jirani yangu mmoja namkwepa sana lakini hakati tamaa tu anataka nimpe dushelele
 
Mkuu tuliza boli. Migogoro ya ndoa ina vyanzo vingi,, sio kugegedana tu ndio kunasababisha migogoro.
 
Kwanza ndoa ina thamani gani hapa duniani mkuu? Ndoa ni UTAPELI tu mkuu, isikuumize sana.
 
Tatizo kubwa sana hili,
 
Wakuu mkioa wake zenu wavisheni mavazi ya stara ili wasisumbuliwe huko nje ibaki tabia tu ya mkeo mwenyewe ila sio kuwashawishi wengine

Unakuta ni mke wa mtu lakini kavaa nguo inaonesha chupi ndani, either ndio ya kubana kuonesha mat*ko yake yalivyo makubwa nani anaweza vumilia

Ukishaoa au kuolewa unatakiwa ujiheshimu maana ushavuka stage moja kwenda nyingine

Wengine wanajizuia na upwiru kulingana na hali za wake zao ndani kisha kanapita kamke kamtu kamevaa skinny hadi k* imejichora unatarajia nini

INFACT, kwangu mke wa mtu ninampima kwa kuangalia alivyovaa akiwa uchi ni malaya kama wengine
 
Mkuu umeongea jambo la maana sana ila tatizo linachangiwa na mume husika pia kumruhusu mke wake kuvaa nguo zinazoacha wazi/kubana mwili wake.

Muhimu: Wivu ni ukamilifu kwa mwanaume.
 
Mkuu umeongea jambo la maana sana ila tatizo linachangiwa na mume husika pia kumruhusu mke wake kuvaa nguo zinazoacha wazi/kubana mwili wake.

Muhimu: Wivu ni ukamilifu kwa mwanaume.
Mtoa mada analalamika watu na heshima zao wanatoka na wake za watu bila kujua hao wake za watu ukiwakuta barabarani huwezi tofautisha na malaya wa kimboka kwa alivyovaa sasa kwa hali hiyo wataachaje kutongozwa

Mke kweli anatakiwa awe tofauti na anaetafuta bwana au malaya kuanzia kujiheshimu na mavazi hapo hata lugha ya kuingilia huna ila hawa vichenchede wa asaivi hata sio wake za watu ila ni vimada vilivyowekwa ndani na wanaume kadhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…