Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu

Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu

Kingine kinachochangia

Wanawake wengi wakiwa wanaenda umri wananyima waume zao sex sasa wakifika hukoo wanaume wengi sana hushindwa vumilia?

Wanaume wengi tunapenda sex ndio tulivyoumbwa
Kwani akiwa mke wa mtu ndio haitaingia?
 
Sema mzee baba...

We acha tu ndugu yangu.
Haya mambo yanahitaji nidham ya hali ya juu.

Nakumbuka Kuna Rafiki yangu Mzimbabwe aliyeishi sana South alikua anasema... "Man, if I can only overcome this one sin, aaah I will go to heaven Chief. You know even pastors in their gatherings confess and discuss how they can overcome this stuff...mind you am talking about pastors..."
 
Sio kila unayemuona duniani ni binadamu wengine ni mapando ya shetani kuja kuvuruga watu
Ukiona mtu anajiachia hivyo jua hana cha kupoteza, watu hawataki kunywa dawa peke yao.
Kunywa soda kwa Mangi nakuja kulipa. Ukweli dunia ina mchanganyiko wa vitu vyote. Sio wote binadamu.
 
Ukiwa ndoani ukianzisha uhusiano na asiye na ndoa unabambwa mwezi 1 tu.

Hawa ndo wale saa 12 anakuamsha na “Goodmorning my love”. Saa 4 usiku anapiga. Nani anataka dhahma??
 
Ukiwa ndoani ukianzisha uhusiano na asiye na ndoa unabambwa mwezi 1 tu.

Hawa ndo wale saa 12 anakuamsha na “Goodmorning my love”. Saa 4 usiku anapiga. Nani anataka dhahma??
Na unaita my love mke au mume ya mtu kulanina
 
Kingine kinachochangia

Wanawake wengi wakiwa wanaenda umri wananyima waume zao sex sasa wakifika hukoo wanaume wengi sana hushindwa vumilia

Wanaume wengi tunapenda sex ndio tulivyoumbwa
Ndio uchukue mke wa mtu?
 
We acha tu ndugu yangu.
Haya mambo yanahitaji nidham ya hali ya juu.

Nakumbuka Kuna Rafiki yangu Mzimbabwe aliyeishi sana South alikua anasema... "Man, if I can only overcome this one sin, aaah I will go to heaven Chief. You know even pastors in their gatherings confess and discuss how they can overcome this stuff...mind you am talking about pastors..."
Hakuna wapo hata madhabahuni
 
Mke wa mtu sio kifurushi cha mpunga kwamba ubakibeba tu na kutembea nacho. Sisemi kuwa aheshimike anaetembea na mke wa mtu ila tu huyu mke wa mtu nae hakujua Kama ni mke wa mtu?
Sio ndio hapo. Uliolewa ili iweje kama hujitambui kama mke wa mtu. Nashangaa watu wanalumu eti umeiba mume au mke wa mtu? Hivi mtu anaibwaje kwa mfano.
 
Ipo siku wataingiza kwako
Nonsense.

Hakuna la ziada kwenye mahusiano ya kingono baina ya watu wazima wa jinsia tofauti walioridhiana isipokuwa tu kama vijinasaba vya urithi vitakuwa compromised.

Ndoa na blah blah nyingine ni vyombo tu vya kijamii ambavyo vinapita na kurudi kwa nyakati tofauti bila kuathiri maisha kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom