Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu

Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu

Huoni kama kuna ulazima wakuwafanyia counselling?

La muhimu ni kujitahidi kutokuoa malaya maana Wanawake malaya walioolewa wanaujua huu udhaifu na wanautumia kimaslahi, wengine wasio na waume hadi wanavaa pete anaanza kukulilia mumewe hamfikishi, ana maumbile madogo au hamuhudumii hamjali n.k na siku mnafanya analia kama mtoto kuwa hajawahi fanywa hivyo ila ni igizo maana keshakujua una tatizo hilo.
 
Ni sawa na mtu anajua kabisa ana maradhi yanayoambukiza kama virus vya ukimwi lakini hajali, analala na kila mtu, maana yake anataka kuwaambukiza wengine maradhi yake makusudi kabisa. Basi hata kusisitiza matumizi ya kondomu hataki, lengo lake nini sasa!

Hii dunia imejaa ukatili mwingi sana.
 
mara nyingi uwaga visas by natural ukute ye ashachukuliwa mkewe sana akapolwa kabisa au mpenz wake wa dhat ivo ki asil anajipa moyo nshawah kuchukuliwa na watu awajajal bas nlikuq mnyonge ili ajipate sio mnyonge awez kuhofia kumchukulia mwingine mtoa post upo smart sana cz ujarealise kwako unaez kuta we mwenyew mkeo anachukuliwa na jiran tu kwa vgez vdog dogo siku ukijua autakua na mtazam km huu big fish eat small fish its part of game skuiz zama za mwisho hamna usawa
we omba yasikukute cz hat wao ujasir waliupata kuptia maumiv
 
Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu.

Hivi unajisikiaje kuwa sehemu ya migogoro katika ndoa ya mwanaume mwenzako?,sawa inawezekana umejua kuwa ndoa ya huyo mwanamke ina tafrani, je migogoro ya ndoa ya mwingine ni ticket ya wewe kumtaka na kutengeneza mgogoro ktk ndoa yako kama unayo?.

Ok utakuta mume wa mtu lakini ana date na mke wa mtu tena kwa mahaba mazito, hivi unachukuliaje kuwa sehemu ya kuvunja moyo wa mkeo pindi atakapo tambua?.

unajisikiaje kuwa mzurumati wa amani na furaha ya ndoa yako mwenyewe?,

Ok sawa, tufanye unakosa Haki zako za msingi kutoka kwa mkeo, hivyo huna budi kutoka nje, sasa kwanini ukatembee na mke wa mtu kwani hakuna walio mali ya umma ?

Nikweli sisi wanaume tuna udhaifu lakini inawezekana kuuzuia ili tusiumize mioyo ya hawa wanawake ambao tayari ni wake zetu, tuwe walinzi wa ndoa za wengine kama vile tulindavyo zetu.

Kuna mwanamke anamume tena anajiheshimu ,lakini anamchepuko ambaye ni mume wa mtu, na ukimwambia wewe ni mke wa mtu anakwambia kwani mke wa mtu ni kitu gani?

Sawa inawezekana ndoa yako ina migogoro hivyo unaitafuta furaha nje, sasa upi ni ulazima wakuitafuta furaha kupitia mume wa mwanamke mwenzako?, au furaha nikuona ndoa yake inakuwa kama yako?

Huoni kwamba unahujumu amani na furaha ya ndoa ya mwanamke mwenzako?, sisi wanaume hatuna uwezo wakusambaza furaha na kupenda mwanamke zaidi ya mmoja ,ni mbwembwe tu, hivyo ukiona anakuoenda ujue amesha hamisha upendo kutoka familia na mke wake, hivyo kaacha maumivu Yale ambayo huyahitaji na kamuachia mwanamke mwenzake.

Unajisikiaje kuwa sababu ya kilio na maumivu kwa mwanamke mwenako??

Kama unaona ndoa yako haikupi thamani basi achana nayo ili utengeneze thamani yako nje ya ndoa, na kama ndoa inakupa thamani basi ilinde hiyo thamani.

TUJISAHIHISHE.
saa zingine kuna mistakes wanawake huzifanya kizembe sana na kuwadhalilisha wao wenyewe, waume zao na ndoa zao kwa ujumla 🐒

nikiwa chuo kikuu nasoma, rafiki yangu moja alikua akifanya kazi ya kuuza magari, na hiyo ilimpa fursa ya kubadili magari ya kutembelea mara kwa mara ...

siku moja tukiwa pamoja barabarani, alimpigia honi binti moja mrembo sana, huku akipagi gari pembeni ya barabara ili mrembo yule apande garini. Mrembo akafika akapanda jamaa akadrive mpaka kazini kwa mrembo akamdrop nasi tukaendelea na mishe zetu.....

Bas,
Jamaa akaanza kunipa stori za yule mrembo sasa. Kumbe alikua ni mwalimu, ameolewa, ni mzazi, ana mume na watoto wa3, na pale tulipomkuta alikua akielekea kituo cha daladala ili apande kidala kuelekea kazini kwake....

Jamaa anasema wamezoena na kujuana humo humo barabarani tu. Anasema siku moja akamtongoza yule mrembo, lakini mrembo akagoma na kumtolea nje jamaa katu katu, kwa sababu kwamba anampenda na anamuheshimu sana mumewe na hawez kumsaliti hata sku moja. Lakini pia eti mumewe ni mkali mno, hata akiskia tu uvumi wa kutoka nje ya ndoa, itakua ni shida.

Mrembo akaendelea kumsanua rafiki yangu kwamba, pia, anawatoto analea na mumewe anamtimizia haja na kila kitu anacho hitaji 🐒

Bas,
Jamaa akaendelea kunipigia stori, kwamba siku moja akamuomba mrembo walau watoke pamoja, waende walau kupata lanchi au kinywaji pamoja, na wazungumze vizur, na maana jamaa alimueleza mrembo kwamba, hakua anaelewa alivyokua anakataliwa kwasababu concentration yake ilikua zaidi kwenye kuendesha gari na hivyo hakuelewa sababu zaidi za kukataliwa penzi na mrembo Mwalimu.

Bas ,
Mrembo, Mwalimu na mke wa mtu akakubali ile offer, kwa sharti kwamba hawatafanya chochote wala kuelekea mahala pengine popote baada ya kula au kunywa.....

Basi,
siku ikafika. Jamaa anasema, mrembo si alisema mume wake ni mkali na ni mtu hatari sana? sasa nataka nimuonyeshe kwamba sisi ndio wakali wa hizi kazi 🐒

muda ukafika,
akampitia mahali walipokubaliana kukutana, akasimamisha gari, mrembo akazama kwenye vogue, jamaa akadrive taratibu tu, mara waingie kona hii mara ile, mtaa waingie mtaa huu, mara ule, mara waingie barabara ya lami mara ya vumbi, hadi mrembo akaanza kujawa hofu, akawa anamuuliza jamaa tunaenda wapi sasa huku hata hapajui?😳

Jamaa akamwambia tulia best tumeshafika. Mara anaona vogue linaelekea direct hadi kwenye mlango wa geti la lodge, jamaa anapiga honi, geti linafunguliwa, vogue vogue linazama kwenye coumpaund ya lodge na linapaki ndani.

Jamaa anashuka, anaingia reception, anamaliza registration, anatoka nje anampungia mkono mrembo kwenye gari ashuke aje ndani na kwamba ndio tayari wamefika kwenye launch 🤣

mrembo mrembo kukataa kushuka kwenye vogue hawezi, kugoma kushuka hawezi, kupiga kelele hawezi maana ni mtu mzima 🐒

bilashaka,
alijiuliza maswali hamsini kidogo kichwani mwake bila kupata majibu......

Eneo hilo mrembo hapajui,
na hapo ni lodge saa5 asubuhi anatakiwa awe kazini na mumeo anajua yupo kazini, na hata akipiga kelele akasaidiwa, mume wake akijua atamuuliza ilikuaje uende mpaka lodge ndio uanze kupiga kelele ?

apige kelele watu wachukue video wasambaze mitandaoni, dunia ijue kwamba alileta fujo lodge, lakini pia ndoa yake ivunjike, au akubali kuzama lodge kwa upole, amani na bila matata amalizane na jamaa mambo yaishe kwa amani ili kunusuru kuvunjika kwa ndoa yangu anayoipenda sana?

kwa hakika,
mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake yeye mwenyewe 🐒

ladies and gentlemen,
You know what happened then,

nikipata muda nitakuja kumalizia, but lift sio nzuri 🐒
 
Kingine kinachochangia

Wanawake wengi wakiwa wanaenda umri wananyima waume zao sex sasa wakifika hukoo wanaume wengi sana hushindwa vumilia

Wanaume wengi tunapenda sex ndio tulivyoumbwa
 
Back
Top Bottom