Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hilo hasa 😁😁😁Yeah, uchepukaji wa me unatumia akili kuliko wa ke unaotumia hisia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo hasa 😁😁😁Yeah, uchepukaji wa me unatumia akili kuliko wa ke unaotumia hisia.
Wake wa mtu huwapenda waume za watu kuliko wanaume single kwa sababu waume za watu hawana mambo mengi na wanajua ku-care....
Hata single ladies wanapenda waume za watu kwa sababu hizo hizo😀Wake wa mtu huwapenda waume za watu kuliko wanaume single kwa sababu waume za watu hawana mambo mengi na wanajua ku-care....
Hata single ladies wanapenda waume za watu kwa sababu hizo hizo😀
Watu wazingatie hili neno. Hali kadhalika wote mnavyakupoteza ikitokea mambo yameenda mrama.
Sawa na kuwa na mahusiano na mtawa...niishie hapo.
Uko salama Jemedari, umekua kimya nikajua umemsindikiza Hidaya
Mapumziko muhimu ila usipoteze sana mkuu.Nipo mkuu kwema? Nimekuwa msomaji zaidi...
Mapumziko muhimu ila usipoteze sana mkuu.
Kwenye huu mjadala natamani kusema kitu ila acha tu mtandao urudi vizuri usije ukapotea tena.
Umeongea vema sana mtoa mada muda mwingine akili na busara zitumikeMtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu.
Hivi unajisikiaje kuwa sehemu ya migogoro katika ndoa ya mwanaume mwenzako?,sawa inawezekana umejua kuwa ndoa ya huyo mwanamke ina tafrani, je migogoro ya ndoa ya mwingine ni ticket ya wewe kumtaka na kutengeneza mgogoro ktk ndoa yako kama unayo?.
Ok utakuta mume wa mtu lakini ana date na mke wa mtu tena kwa mahaba mazito, hivi unachukuliaje kuwa sehemu ya kuvunja moyo wa mkeo pindi atakapo tambua?.
unajisikiaje kuwa mzurumati wa amani na furaha ya ndoa yako mwenyewe?,
Ok sawa, tufanye unakosa Haki zako za msingi kutoka kwa mkeo, hivyo huna budi kutoka nje, sasa kwanini ukatembee na mke wa mtu kwani hakuna walio mali ya umma ?
Nikweli sisi wanaume tuna udhaifu lakini inawezekana kuuzuia ili tusiumize mioyo ya hawa wanawake ambao tayari ni wake zetu, tuwe walinzi wa ndoa za wengine kama vile tulindavyo zetu.
Kuna mwanamke anamume tena anajiheshimu ,lakini anamchepuko ambaye ni mume wa mtu, na ukimwambia wewe ni mke wa mtu anakwambia kwani mke wa mtu ni kitu gani?
Sawa inawezekana ndoa yako ina migogoro hivyo unaitafuta furaha nje, sasa upi ni ulazima wakuitafuta furaha kupitia mume wa mwanamke mwenzako?, au furaha nikuona ndoa yake inakuwa kama yako?
Huoni kwamba unahujumu amani na furaha ya ndoa ya mwanamke mwenzako?, sisi wanaume hatuna uwezo wakusambaza furaha na kupenda mwanamke zaidi ya mmoja ,ni mbwembwe tu, hivyo ukiona anakuoenda ujue amesha hamisha upendo kutoka familia na mke wake, hivyo kaacha maumivu Yale ambayo huyahitaji na kamuachia mwanamke mwenzake.
Unajisikiaje kuwa sababu ya kilio na maumivu kwa mwanamke mwenako??
Kama unaona ndoa yako haikupi thamani basi achana nayo ili utengeneze thamani yako nje ya ndoa, na kama ndoa inakupa thamani basi ilinde hiyo thamani.
TUJISAHIHISHE.
Hayanaga fomula lo!
Tatizo hapo lipo kwa naniMtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu.