Mtu unatakiwa uwe na chupi ngapi?

Mtu unatakiwa uwe na chupi ngapi?

Wanaume uzi wa binti zetu huu muwe waangalifu mnapokomenti 😅!.
 
Hivi binadamu anatakiwa awe na chupi ngapi? Wewe una chupi ngapi? Mi nina chupi 7 tu na zinantosha.
😳😳😳🤔🤔🙇🏿‍♂🙇🏿‍♂
 

Attachments

  • 20240729_073525.jpg
    20240729_073525.jpg
    57.2 KB · Views: 8
Aisee kuna watu ni wazinzi, wanatia laana nchi...
 
Kina mama mbona hamsemi mna chupi za kuja nazo hospital mnazihifadhi kama wazee wetu walivokua wanahifadhi vyombo vya udongo vya wazee

Ukitaka kuona chupi zilizotoboka na Vuuzi la Osama basi Nenda EMD
 
Back
Top Bottom