OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Unapokea wageni mbalimbali kuwapa huduma ya gest. Wengine unapokea usiku kama huu. Halafu unaombwa kondomu huna. Si utaua watu?
Hii sio sawa
Hii sio sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maduka saa 7?Maduka ya kondomu hujui yalipo? Be responsible for your life.
Tulishauriana na mwenzangu tutafute zana gesti za jirani.Saa nane sahivi, umeamuaje??? Umelala au umepiga tu trat na trab
Ni Yanga haoUnapokea wageni mbalimbali kuwapa huduma ya gest. Wengine unapokea usiku kama huu. Halafu unaombwa kondomu huna. Si utaua watu?
Hii sio sawa
Mwenzako au business partner😁Tulishauriana na mwenzangu tutafute zana gesti za jirani.
🤣🤣🤣🤣Vaa hata mfuko wa nylon, weka wese kwa wingiii😂🤣
Haina kusema "hilo nalo mliache lipite"?Unafuatilia kwa undani zaidi!🙏😂