Hujitambui... sioni fashisti Putin akiwa na siku nyingi za kuishi. Let the world get rid of that worst ruler of our times.
Mtu wa ajabu ananyea ppua
Uajabu wa huyu mtu anaezungumziwa hapa ni kule kupiga story na mbabe Putin kama vile msela wake wa kitambo na sio kwamba ana miguu 8 au ananyea puani kama dogo Superbug alivyoulizaHzi story zenu za vijiwe vya kahawa mnatuletea huku mantuonaje lakini?
Mtu wa ajabu? Yupoje? Ana miguu mitatu? Je ana vichwa viwili?
Bladfaken
Yuko wapi,napenda nimuone huyo mtu wa ajabu.Mtu huyo ambae anaonekana kuwa bado kijana mdogo ametambulika kwa jina kuwa ni Dmitry Kovalev na kwa sasa anahudumu kama mkuu wa presidential administration department
Kwakweli hakuna watu ameivuruga hii dunia kama US. Tukianza taja nchi walizovamia nadhani hata hitler haoni ndani. Tunahitaji watu kama Putin kuwafunga US na genge lake la matapeli speed governor... sioni fashisti Putin akiwa na siku nyingi za kuishi. Let the world get rid of that worst ruler of our times.
Hilter katawala miaka mngap na USA imetawala mingap , jibu linaanzia hapoKwakweli hakuna watu ameivuruga hii dunia kama US. Tukianza taja nchi walizovamia nadhani hata hitler haoni ndani. Tunahitaji watu kama Putin kuwafunga US na genge lake la matapeli speed governor
Ww unajua kama kesho yake utafika? Au ndio nyani... sioni fashisti Putin akiwa na siku nyingi za kuishi. Let the world get rid of that worst ruler of our times.
If wishes were horses... sioni fashisti Putin akiwa na siku nyingi za kuishi. Let the world get rid of that worst ruler of our times.
Huyu hapaWeka picha ya huyo mtu wa ajabu
During the campaign, conventional weapons such as explosives, incendiary bombs, and napalm destroyed nearly all of the country's cities and towns, including an estimated 85 percent of its buildings.Hilter katawala miaka mngap na USA imetawala mingap , jibu linaanzia hapo