mtu wa ajabu aliyeonekana akizungumza na mbabe Putin wakati wa Parade ya ushindi jana amesababisha tetesi za watu kuhisi kuwa huenda ndie akawa mrithi wa Putin
Mtu huyo ambae anaonekana kuwa bado kijana mdogo ametambulika kwa jina kuwa ni Dmitry Kovalev na kwa sasa anahudumu kama mkuu wa presidential administration department