Mtu wako wa karibu anakwambia nini katika hatua kama hii?

inasemekana ni vigumu sana kuvumilia
Lakini si inawezekana? Ugumu lazima uwepo kwenye maisha ya mwanadamu cha msingi ni uwezo wa kuukabili huo ugumu tu hata Mungu anajua kuwa kawaumba na tamaa lakini pia amewapa na uwezo wa kuzishinda hizo tamaa ndo maana akakataza uzinzi na uasherati kwa maana kwamba ukikosa hautaumwa wala hautakufa siyo chakula hicho
 
Ni kujibu kwa kuzingatia aya zako mbili za kwanza maana ndio zimebeba kile unachokihubiri kila siku humu.

kama kweli wewe mwanamke umeamua kubeba masculine duties wakati huo ukitaka na mume wako nae abebe zile feminine duties kwa minajiri ya kuleta mgawanyo wa majuku kwenye mzani wa fifty-fifty, basi hakikisha hizo masculine duties unazifanya bila kuchagua. Yaani kama ni kukimbiza mwizi aliyekuja kuwavamia usiku basi fanya hata wewe bila kumshirikisha mume...kama ni kudeal na choo kibovu kilichoziba fanya hata wewe bila kumshirikisha mume.

Alikadharika mwanaume naye atafanya majukumu yote pasipo kuangalia kuwa haya ni ya kike au ya kiume ili kuleta exact fifty -fifty. Lakini kama wewe mwanamke utachagua majukumu fulani ya kiume ndio ufanye mengine usijuhusishe nayo, basi hata mwanaume naye anaweza akaamua ni jukumu lipi la kike anaweza akafanya na lipi asifanye. Na mpaka hapa tunakuwa hatupo tena kwenye 50 50 na hii ndio hasa unayoilengaga wewe kwenye maelezo yako.
 
Halafu wanawake wa aina yetu ndo wife material kama ulikuwa haujui yaani wanaume ogopeni sana wale wanawake wa kila kitu "ndiyo mume wangu" maana ndo mnaowataka hao
Hongera kwa kuwa wife material mzee mama
 
Yaani wanaume bwana kwahiyo suluhisho la maovu yenu ni wake zenu kuwaacha hivyo hivyo mlivyo ila siyo ninyi kubadilika hivi ni kazi sana wanaume kuacha maovu?
Yaani Edelyn bwana kwa hiyo wewe unaona kuliko kumuacha mume mnyanyasaji uliyejaribu kumrekebisha lakini harekibishiki ni heri uendelee kuvumilia tu manyanyaso yake huku ukimuombea dua mbaya hili upate haueni kupitia matatizo yake si ndio?
 
Mbona kwenye kutafuta wake wa kuoa hamkumbuki kwamba sisi siyo malaika?
Comments zingine zinajibiwa kulingana na content iliyomo kwenye comment yenyewe. Mtu anasema wanawake hawana matatizo kabisa wakati huo reports zinasema 80% of divorces zinakuwa initiated na wanawake, sasa huko si kujitia upofu tu ama kwa kujua au kutokujua mradi tu ujifurahishe na gender bias
 
Hahahaha hapa umenichekesha kwa kweli mimi siyo shabiki wa MAN U na pia siwapendi mashabiki wa MAN U maana wengi ni wabishi kweli halafu wana sifa za kijinga nimesema wengi siyo wote
Hahaha.... hapa hata mimi umenifurahisha mashabiki wa man u ni kweli wako kama ulivyowaelezea
 
Hilo neno kidding nilitaka niliweke pale mwisho wa sentensi ya
"au mnatuonea wivu" maana siamini kama kweli mnatuonea wivu linopokuja suala kuchepuka.

Hata hivyo hili somo lako limeniingia sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni wengi mwaya hata siyo wote tena hasa hasa wanaume kwani wewe MAN U unawashabikia wachezaji gani hasa maana mimi sishabikii MAN U ila kuna wachezaji mle nawakubali
Kama nani vile unamkubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…