Yo not even kidding, well hatuwaonei wivu bali kuchepuka kwenu kunainajisi familia. Na kiimani/kiroho unapochepuka means umeua ndoa hivyo kuihuisha inahitaji juhudi za ziada za wote wawili. Mnamkaribisha shetani wenyewe ndani ya familia then mnaanza kutafuta mchawi[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
I wish mngekuwa na akili na ufahamu wa kuchambua mambo kwa kutumia utashi mlopewa na muumba na kuona madhara yake pasipo kujitetea ujinga. Mkeo akilalamikia kuchepuka kwako means anakupenda na anataka mlinde kiapo chenu, utulie na mjenge familia yenu ambayo ndio msingi wa yote.
Bad enough mkishavuruga bado wanawake ndio wanakesha na kulia kuzinusuru ndoa, ukitaka kujua wanawake wanathamini sana ndoa zao just fanya research ya wanaohangaika na makungwi just kuwaridhisha, nenda makanisani angalia wanaohangaika kuziombea ndoa zao. Ukipata jibu then chukua hatua.