Mtu wako wa karibu anakwambia nini katika hatua kama hii?

Mtu wako wa karibu anakwambia nini katika hatua kama hii?

Ehee.. wacha weee!! basi kama ni hivyo ngoja nifanye mpango nijivutie mmoja kati yao. Maana naamini mwanaume yeyote anaeweze kuwa handle hao effectively, he has to crown himself as noble man. Soon naanza kuwatembelea pm zao mmoja baada ya mwingine.
Kwa comment hii basi ushapwaya kwenye sifa ya kuwa mume wa yeyote hapo.
 
Halafu wanawake wa aina yetu ndo wife material kama ulikuwa haujui yaani wanaume ogopeni sana wale wanawake wa kila kitu "ndiyo mume wangu" maana ndo mnaowataka hao
Hajui tu huyo, mwanamke anaekuamsha wakati wote unakuwa active sio unazubaa zubaa tu.
 
Asante kwa ufafanuzi yakinifu binadada, Nimeelewa sana hasa hapo kwenye kuvuna na kupanda we are all guilty of that at some points in life.

Kwanza kabisa ifahamike kokosea/kukengeuka ndani ya mahusiano inaweza kutokea kwa mtu yeyote yule iwe ni KE au ME, na ninavyoamini mimi na hata wahenga wanasema katika mahusiano/ndoa kila mmoja ni mlinzi wa mwenzake kwa mantiki ya kwamba linapotokea tatizo lolote ambalo chanzo ni mmoja wenu basi wewe ambaye umeona ni tatizo ndio unabeba jukumu la kuhakikisha kuwa tatizo hilo halikui na linaondoka mara moja kwa namna yoyote ile inavyowezekana. Ndio maana huwa tunapokabidhiwa kutoka kwa wazazi tunaambiwa kabisa mbali na kuwa mke/mume lakini huyu pia ni mwanao hivyo mlee.

Changamoto inakuja kwenye kuishi mitazamo/busara tulizoonesha kuzipokea kutoka kwa wazee kama nilivyoelezea hapo juu, je ni wangapi tuna ule moyo/juhudi za` ku deal na wenza wetu pale wanaponesha mabadiliko yasiofaa pasipo kukata tamaa haraka hili kumrudisha kwenye mstari mnyoofu?.. unamuona mwanaume mlevi, sio muaminifu, asiyejari familia na mgomvi umefanya nini hili kumfanya aachane na tabia hizo za ajabu? umekaa nae chini kwa njia ya mazungumzo imeshindikana sasa je, umejaribu kuwashirikisha mashee/wachungaji? wanafamilia au ndugu na jamaa? je umefanya hayo yote na kwa muda gani kama kweli una nia ya kumsaidia mwenza haondokane na tabia mbovu isiyokupendeza? Hii sio kwa mwanamke tu hata kwa mwanume pia(japo kwa mwanaume akipitia hizi njia zote ataonekana ni dhaifu mno).

Ni ukweli ulio wazi tulio wengi hasa kwa kiizazi cha sasa hatuweki efforts kubwa kiasi hicho kwa ajili ya kunusuru mahusiano pale mambo yanapokuwa sio mazuri na hasa ukizangati wewe huna kosa lolote liliofanya mwenzako kafanye madudu. Na hatuoni sababu ya kutumia efforts zote hizo sababu mahusiano tunayachukulia kirahisi rahisi sana na hivyo kutoa mwanya wa tatizo kuwa kubwa zaidi na kadri linavyozidi kuwa kubwa linaleta emotional separation, na kukishatokea tu mtengano wa kihisia chuki/mimba ya uchung lazima iwepo na uchungu/chuki ni mzigo unaokaa kifuani kwa muda mrefu mpaka pale utakapata mahala sahihi pakuutelea, na mahala sahihi penyewe ndio kama hapo yule mbwana anapoingia matatizoni na wewe ndio mtu uliyenaye karibu basi utamuoinesha visanga vya kila namna hili kumfanya ajutie yale yote aliyokuwa anayafanya na kukupa mateso uliyojitahidi kuyavumilia.

Kikubwa ninachokiona mimi kama mwanamke/mwanaume anaona mwenzake ameshapotea kiasi kwamba kwenye ubinadamu hayumo tena, kuliko kuanza kumsubiria huku unamuombea sala mbaya aingie matatizoni hili uyatumie matatizo yake kupata relief ni mara mia ukamuacha mara moja kabla hata hizo sala zako mbaya hazijajibiwa, zaidi ya hapo basi mvumilie na umfariji wakati wa matatizo. Maana hata kama ukishatimiza unachokusudia(kulipiza), baada ya matatizo kuisha kuna uwezekano mkubwa sana akarudi kwenye ile hali yake ya mwanzo ambayo ilikukosesha raha na amani na tena safari hii anaweza kuwa pasua kichwa zaidi sababu hata yeye atakuwa na uchungu uliotokana na namna ulivyokuwa una misbehave wakati yuko kwenye crisis.

Halafu hili suala la kuchepuka...... kuchepuka..... kuchepuka..... kuchepuka...!mbona mnapenda kuligusia sana? vipi mnatuonea wivu nini? the mother nature favors us a lot in this(kidding).
Yo not even kidding, well hatuwaonei wivu bali kuchepuka kwenu kunainajisi familia. Na kiimani/kiroho unapochepuka means umeua ndoa hivyo kuihuisha inahitaji juhudi za ziada za wote wawili. Mnamkaribisha shetani wenyewe ndani ya familia then mnaanza kutafuta mchawi[emoji1745][emoji1745][emoji1745]

I wish mngekuwa na akili na ufahamu wa kuchambua mambo kwa kutumia utashi mlopewa na muumba na kuona madhara yake pasipo kujitetea ujinga. Mkeo akilalamikia kuchepuka kwako means anakupenda na anataka mlinde kiapo chenu, utulie na mjenge familia yenu ambayo ndio msingi wa yote.

Bad enough mkishavuruga bado wanawake ndio wanakesha na kulia kuzinusuru ndoa, ukitaka kujua wanawake wanathamini sana ndoa zao just fanya research ya wanaohangaika na makungwi just kuwaridhisha, nenda makanisani angalia wanaohangaika kuziombea ndoa zao. Ukipata jibu then chukua hatua.
 
@cute b njoo edelyn anakutafuta huku[emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona unataka kunichonganisha jamani mimi mashabiki ninaowaongelea sana sana ni wanaume ndo wana tabia hizo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
I wish wanaume wote duniani wangesoma hii comment
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona unataka kunichonganisha jamani mimi mashabiki ninaowaongelea sana sana ni wanaume ndo wana tabia hizo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uuuuuuw!! Naweza kupumua sasa[emoji23][emoji23]
 
Halafu wanawake wa aina yetu ndo wife material kama ulikuwa haujui yaani wanaume ogopeni sana wale wanawake wa kila kitu "ndiyo mume wangu" maana ndo mnaowataka hao
Wife material kiaje?
 
Nini hiki Edelyn umeandika[emoji134][emoji134].
Ooh wengi siyo wote basi sawa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni wengi mwaya hata siyo wote tena hasa hasa wanaume kwani wewe MAN U unawashabikia wachezaji gani hasa maana mimi sishabikii MAN U ila kuna wachezaji mle nawakubali
 
Back
Top Bottom