Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulishatamani kutandika mtuUuuuuuw!! Naweza kupumua sasa[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulishatamani kutandika mtuUuuuuuw!! Naweza kupumua sasa[emoji23][emoji23]
Yaani wapole, wanyenyekevu, wavumilivu, wacha Mungu, tunajua kujali na hatupendi waume zetu watende dhambi ya uzinzi na unyanyasajiWife material kiaje?
😂😂😂😂😂 ungekuwa hata nusu ya hivyo tu ingekuwa raha sana. Bila shaka we binti ni wa Kipare tu.Yaani wapole, wanyenyekevu, wavumilivu, wacha Mungu, tunajua kujali na hatupendi waume zetu watende dhambi ya uzinzi na unyanyasaji
Hallelujah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ungekuwa mume wangu ndo ungejua kama nina sifa zote hizo au sina ila hapa najua utabisha tu kutokana na mitazamo yangu na wala sikuzuii kubisha na kuhusu kabila mimi siyo wa kipare wala wa makabila yaliyo karibu na hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungekuwa hata nusu ya hivyo tu ingekuwa raha sana. Bila shaka we binti ni wa Kipare tu.
umejiwahi kinoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ungekuwa mume wangu ndo ungejua kama nina sifa zote hizo au sina ila hapa najua utabisha tu kutokana na mitazamo yangu na wala sikuzuii kubisha na kuhusu kabila mimi siyo wa kipare wala wa makabila yaliyo karibu na hilo
Only MEN can understand us.Tukiwaamsha wanasema tunawapanda kichwani kazi ipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunapwaya wapi? Sema ile siku tumekupiga makombora hadi ukakimbia.[emoji23][emoji23][emoji23].
Tatizo lenu huwa hamkai hadi mjidhihirishe mmeshindwa, mnatafutaga visababu mnakimbia.
Umesikia shutuma zao[emoji23][emoji23][emoji23].eti tumemsajiri Edelyn anacheza middle [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],.Wakishashindwa huwa wanakimbia ili tusiseme wameshindwa.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ndiyo kujihami lazima etiumejiwahi kinoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] um
Kabisa, siyo hivi vivulana.Only MEN can understand us.
Tena siyo midfielder ningependa waniite striker maana hiyo ndo nafasi ninayoikubali na hata kati ya wacheza mpira ninaowakubali wengi wao ni strikers Lizarazu umesikia?Umesikia shutuma zao[emoji23][emoji23][emoji23].eti tumemsajiri Edelyn anacheza middle [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],.
Hii Ni baada ya kuwashinda hoja
[emoji23][emoji23]Tena siyo midfielder ningependa waniite striker maana hiyo ndo nafasi ninayoikubali na hata kati ya wacheza mpira ninaowakubali wengi wao ni strikers Lizarazu umesikia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakishashindwa huwa wanakimbia ili tusiseme wameshindwa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kwetu sisi wanawake hauwezi fananisha pesa na mambo ya ajabu
Unajisifu kushindana na mwanaume? Unajua mwanaume ni Nani kwako utandawazi umewaaribu sanaTena siyo midfielder ningependa waniite striker maana hiyo ndo nafasi ninayoikubali na hata kati ya wacheza mpira ninaowakubali wengi wao ni strikers Lizarazu umesikia?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanabaki kusema napenda usawa au ushindani na wanaume[emoji23][emoji23]
Umewavurugwa haswaa
Wanashindwa kupangua hoja
Sasa kama na sisi ni mambo ya ajabu hizo haja zenu mnamalizia wapi?Mambo ya ajabu? Hizo pesa Nani anawapa
Hahahaha aise kwangu mwanaume ni yule muaminifu na anayenijali ila yule msaliti na mnyanyasaji kwangu ni takataka tu na hatakaa aipate heshima yangu katu abadani tatizo hamtaki kuambiwa ukweli na tukiwaambia ukweli mnasema tunashindana na nyie ila huo ndiyo ukweli mchungu mkubali mkatae nyie endeleeni kujitutumua ila hamjui tu jinsi tunavyowachukuliaUnajisifu kushindana na mwanaume? Unajua mwanaume ni Nani kwako utandawazi umewaaribu sana
Halafu hivi wanaume mnatakaga wanawake tuwaogope au?Unajisifu kushindana na mwanaume? Unajua mwanaume ni Nani kwako utandawazi umewaaribu sana