Mtu wako wa karibu anakwambia nini katika hatua kama hii?

Mtu wako wa karibu anakwambia nini katika hatua kama hii?

Yaani wapole, wanyenyekevu, wavumilivu, wacha Mungu, tunajua kujali na hatupendi waume zetu watende dhambi ya uzinzi na unyanyasaji

Hallelujah
😂😂😂😂😂 ungekuwa hata nusu ya hivyo tu ingekuwa raha sana. Bila shaka we binti ni wa Kipare tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungekuwa hata nusu ya hivyo tu ingekuwa raha sana. Bila shaka we binti ni wa Kipare tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ungekuwa mume wangu ndo ungejua kama nina sifa zote hizo au sina ila hapa najua utabisha tu kutokana na mitazamo yangu na wala sikuzuii kubisha na kuhusu kabila mimi siyo wa kipare wala wa makabila yaliyo karibu na hilo
 
umejiwahi kinoma
😂😂😂😂😂 um
 
Tunapwaya wapi? Sema ile siku tumekupiga makombora hadi ukakimbia.[emoji23][emoji23][emoji23].
Tatizo lenu huwa hamkai hadi mjidhihirishe mmeshindwa, mnatafutaga visababu mnakimbia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Makombora
 
Umesikia shutuma zao[emoji23][emoji23][emoji23].eti tumemsajiri Edelyn anacheza middle [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],.
Hii Ni baada ya kuwashinda hoja
Tena siyo midfielder ningependa waniite striker maana hiyo ndo nafasi ninayoikubali na hata kati ya wacheza mpira ninaowakubali wengi wao ni strikers Lizarazu umesikia?
 
Tena siyo midfielder ningependa waniite striker maana hiyo ndo nafasi ninayoikubali na hata kati ya wacheza mpira ninaowakubali wengi wao ni strikers Lizarazu umesikia?
Unajisifu kushindana na mwanaume? Unajua mwanaume ni Nani kwako utandawazi umewaaribu sana
 
Unajisifu kushindana na mwanaume? Unajua mwanaume ni Nani kwako utandawazi umewaaribu sana
Hahahaha aise kwangu mwanaume ni yule muaminifu na anayenijali ila yule msaliti na mnyanyasaji kwangu ni takataka tu na hatakaa aipate heshima yangu katu abadani tatizo hamtaki kuambiwa ukweli na tukiwaambia ukweli mnasema tunashindana na nyie ila huo ndiyo ukweli mchungu mkubali mkatae nyie endeleeni kujitutumua ila hamjui tu jinsi tunavyowachukulia
 
Back
Top Bottom