Mtu wako wa karibu anakwambia nini katika hatua kama hii?

Mtu wako wa karibu anakwambia nini katika hatua kama hii?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aliyekwambia wanawake wazuri ni wapole nani?
huyo mtot mpole sana, anahitajika kuwa ubavu wangu wa kushoto, naimani tutaganga yajayo tu.😆😆😆 yaliopita tuyaache nyuma kama moshi wa ist.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo hapendagi wanaume wazinzi na wanyanyasaji anapendaga wanaume waaminifu na wanaotimiza majukumu yao ipasavyo halafu hawezagi ndoa za mitala anaweza ndoa za mke mmoja tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
huyo mtot mpole sana, anahitajika kuwa ubavu wangu wa kushoto, naimani tutaganga yajayo tu.[emoji38][emoji38][emoji38] yaliopita tuyaache nyuma kama moshi wa ist.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo hapendagi wanaume wazinzi na wanyanyasaji anapendaga wanaume waaminifu na wanaotimiza majukumu yao ipasavyo halafu hawezagi ndoa za mitala anaweza ndoa za mke mmoja tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi hakika amefika katika mikono iliyo salama, naomba ajongee piemu tu ili kupatiwa muongozo kamili wa kupata sacramenti ya pendo na huba la uhakika kama umeme wa TPC. Aje tu...ntampokea 🤩
 
Basi hakika amefika katika mikono iliyo salama, naomba ajongee piemu tu ili kupatiwa muongozo kamili wa kupata sacramenti ya pendo na huba la uhakika kama umeme wa TPC. Aje tu...ntampokea [emoji2956]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aise naona ndo sound mpya za siku hizi hizo ila huyu anapenda mwanaume atakayemsaidia kazi za nyumbani siku moja moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndiyo lazima kuna majukumu yake mengine niyabague kama ambavyo yeye kuna mengine hayawezi kama kubeba mimba, kuzaa na kunyonyesha.
Kumbe umebadili user name? ....kama hutojari napenda kujua hili jina lako la sasa hivi lina maana gani.

Ila Edelyn bwana, yaani kabisa unaleta suala la kubeba mimba ambalo ni la kibailojia zaidi na kuliweka kwenye kundi moja na majukumu yasiokuwa na uhusiano wowote na tofauti za kibailojia kwenye muktadha wa kutimiza majukumu kati ya KE na ME?

Mimi binafsi siwezi kubeba mimba kwa sababu ya kibailojia kama ingekuwa inawezekana ningemsaidia mke wangu.,sasa je wewe kuna sababu gani hasa inayokufanya usitekeleze majukumu kama vile kulinda familia dhidi ya maadui? Kimsingi wewe huko kwenye nafasi nzuri ya kutekeleza jukumu linaweza kufanywa na mimi kuliko mimi kufanya la kwako.

Kiufupi tu hauwezi ukaifuata fifty fifty na ukaitekeleza kwa asilimia mia, lazima kuna majukumu baadhi utayakwepa na mwenzako nae ataangalia majukumu ya kutoyafanya kama kufidishia yale ambayo wewe umeyaacha. Sasa kama ikitokea ukahisi hakuna fairness na kuanza kulalamika basi wewe utakuwa unahitaji favor kwenye hili suala
 
Na ndo sasa kwa sababu tunaongozwa na kichwa hatujiongozi wenyewe basi ndo mjue kwamba mambo yakienda kombo kiwiliwili hakihusiki tena bali ni kichwa maana kiwiliwili kilikuwa kinafuata kichwa tu sasa kinaingizwaje kwenye lawama tena?
Hehehehe... kuwa hamjiongozi wenyewe na badala yake mnaongozwa kwa 100% au sio? Yaani hadi wewe ulivyokuwa so argumentative mpaka raia wanalala nyasi unatoa hii kauli....hahahaha noma kweli
 
Nimeshangaa nime qoute Edelyn anajibu Marianah 😆😆😆 you confused me.
Yaani hata mimi kanichanganya kweli, mimi naangalia notifications nakutana na mention kibao kutoka kwa merianah. Acha nianze kujiuliza huyu merianah wa wapi tena mbona sijawahi kuiona hii id halafu kani quote kwa fujo... kumbe ni mama la mama kubwa la maadui striker hatari kuwahi kutokea Edelyn
 
Stephen King ,mtu maarufu kwa uandishi wa Vitabu duniani aliwahi kukataliwa Kazi zake Mara nyingi.

Aliwahi kwenda kwa wachapishaji (Publishers) wa Vitabu 30 wakikataa Kazi zake kwamba hazikuwa na ubora .

Hali hii ilimfanya aanze kukata tamaa na mafanikio.

Akiwa katika hali ya kukata tamaa aliambiwa neno kubwa na mke wake " *Mume wangu ,tusikate tamaa tuendelee kutafuta wachapishaji wengi ipo Siku tutafanikiwa tu* "

Kutokana na hilo neno la mke wake lililomtia nguvu na ujasiri aliendelea kutafuta hatimaye akapata.

Stephen King ameandika vitabu 58 na stori fupi zaidi ya 200 .

Stephen King ameshauza nakala za vitabu milioni 350 duniani mpaka sasa .

Tafiti zinaonesha kwamba Stephen King ni tajiri wa 5 katika waandishi wa vitabu duniani mwaka 2019 , akiwa na dolla million 400.

Hakika hakuna safari isiyo na changamoto katika maisha isipokuwa lazima uangalie aina ya mtu unayesafiri naye.

Mke wa Stephen King alimwambia mume wake hivi akafanikiwa

[emoji1377]
*Mume wangu ,tusikate tamaa tuendelee kutafuta wachapishaji wengi ipo siku tutafanikiwa tu*

Je, mke wako anakwambiaje unapokwama , mume wako anakwambiaje ukikwama ? Ndugu, jamaa na rafiki zako wanakwambiaje ukikwama?

Hakikisha unasafiri na mtu anayeona matatizo kwa jicho la mafanikio.

*You're the Sperm that won the race*

#Nanauka
SOME OTHER PARTNERS WANAFIKA SEHEMU WANAKUACHA NJIANI. THE LEVEL OF THEIR PATIENCE AND STRENGTH IS NOT ENOUGH NA SIO TU KERO YA KUCHOKA KWAO BALI HAWANA HATA MBINU KABISA AU MBINU BORA ZA KUTOA KWA MWENZA WAO ILI KUWASOGEZA AU KUSOGEA WOTE KWENYE HATUA MPYA.
 
Kumbe umebadili user name? ....kama hutojari napenda kujua hili jina lako la sasa hivi lina maana gani.

Ila Edelyn bwana, yaani kabisa unaleta suala la kubeba mimba ambalo ni la kibailojia zaidi na kuliweka kwenye kundi moja na majukumu yasiokuwa na uhusiano wowote na tofauti za kibailojia kwenye muktadha wa kutimiza majukumu kati ya KE na ME?

Mimi binafsi siwezi kubeba mimba kwa sababu ya kibailojia kama ingekuwa inawezekana ningemsaidia mke wangu.,sasa je wewe kuna sababu gani hasa inayokufanya usitekeleze majukumu kama vile kulinda familia dhidi ya maadui? Kimsingi wewe huko kwenye nafasi nzuri ya kutekeleza jukumu linaweza kufanywa na mimi kuliko mimi kufanya la kwako.

Kiufupi tu hauwezi ukaifuata fifty fifty na ukaitekeleza kwa asilimia mia, lazima kuna majukumu baadhi utayakwepa na mwenzako nae ataangalia majukumu ya kutoyafanya kama kufidishia yale ambayo wewe umeyaacha. Sasa kama ikitokea ukahisi hakuna fairness na kuanza kulalamika basi wewe utakuwa unahitaji favor kwenye hili suala
Ujue wewe umekazania sana hiyo 50/50 utadhani mimi nimesema naipenda sana mimi najua kwamba mwanamke hayuko sawa na mwanaume na yuko chini ya mwanaume

Kwahiyo hadi hapo siamini katika hiyo 50/50 ila ninachojaribu kusema hapa ni kwamba hakikisha mkeo hafanyi majukumu mengi kuliko wewe halafu kuhusu maswala ya kubeba mimba, kuzaa na kunyonyesha kwanini usiyahesabie?

Lazima uyahesabie hata kama wewe haujaumbwa kuyafanya na ndo sasa unatakiwa umsaidie mkeo yale ambayo unaweza kuyafanya kama kuzaa lingekuwa siyo jukumu la kuhesabiwa basi hata Mungu asingesema mwanaume atakula kwa jasho lake na mwanamke atazaa kwa uchungu ila kwanini alisisitiza?

Maana yake ni kwamba hilo jukumu ni la muhimu hata kama mwanaume hawezi kulifanya kwahiyo wewe unapowaza maswala ya ulinzi chukulia ni jukumu lako tu (hata kama mwanamke anaweza kulifanya) kama ambavyo kuzaa ni jukumu la mwanamke
 
Hehehehe... kuwa hamjiongozi wenyewe na badala yake mnaongozwa kwa 100% au sio? Yaani hadi wewe ulivyokuwa so argumentative mpaka raia wanalala nyasi unatoa hii kauli....hahahaha noma kweli
Sasa tukijiongoza wenyewe si ndo huwa mnachukia hadi mnaishia kuchepuka au kuvunja ndoa? Kwani huwa mnaturuhusu tujiongoze?
 
Yaani hata mimi kanichanganya kweli, mimi naangalia notifications nakutana na mention kibao kutoka kwa merianah. Acha nianze kujiuliza huyu merianah wa wapi tena mbona sijawahi kuiona hii id halafu kani quote kwa fujo... kumbe ni mama la mama kubwa la maadui striker hatari kuwahi kutokea Edelyn
Hahahaha nimeona nibadilishe tu maana daah
 
Ujue wewe umekazania sana hiyo 50/50 utadhani mimi nimesema naipenda sana mimi najua kwamba mwanamke hayuko sawa na mwanaume na yuko chini ya mwanaume

Kwahiyo hadi hapo siamini katika hiyo 50/50 ila ninachojaribu kusema hapa ni kwamba hakikisha mkeo hafanyi majukumu mengi kuliko wewe halafu kuhusu maswala ya kubeba mimba, kuzaa na kunyonyesha kwanini usiyahesabie?

Lazima uyahesabie hata kama wewe haujaumbwa kuyafanya na ndo sasa unatakiwa umsaidie mkeo yale ambayo unaweza kuyafanya kama kuzaa lingekuwa siyo jukumu la kuhesabiwa basi hata Mungu asingesema mwanaume atakula kwa jasho lake na mwanamke atazaa kwa uchungu ila kwanini alisisitiza?

Maana yake ni kwamba hilo jukumu ni la muhimu hata kama mwanaume hawezi kulifanya kwahiyo wewe unapowaza maswala ya ulinzi chukulia ni jukumu lako tu (hata kama mwanamke anaweza kulifanya) kama ambavyo kuzaa ni jukumu la mwanamke
Basi kama ni hivyo tukubaliane kuwa mwanaume kusaidia majukumu ya kike ni hiari yake mwenyewe haijalishi hata kama mwanamke anasaidia majukumu ya kiume, hivyo hivyo pia kwa mwanamke kufanya jukumu lolote la kiume ni hiari haijalishi hata kama ME anasaidia majukumu ya kike. Maana 50/50 ni nadharia isiyowezekanika.

Suala la kubeba mimba halipaswi kabisa kuli define kwa misingi ya bible ili kuendana na mantiki iliyipo hapa. Hapa tuko kihalisia zaidi hasa kulingana na dunia yetu ilipofikia, kama tukisema twende kibiblia biblia basi hata mwanamke hatakiwi kufanya kazi na kumbuka huu mjadala wetu unamuhusisha mwanamke mwenye kazi.

BTW, wewe uko tayari kuishi kama house wife ikiwa jamaa atatimiza kila hitaji na wakati huo ukiwa elimu/taaluma yako?
 
Sasa tukijiongoza wenyewe si ndo huwa mnachukia hadi mnaishia kuchepuka au kuvunja ndoa? Kwani huwa mnaturuhusu tujiongoze?
Kwa hiyo kumbe hamuongozwi kwa 100%? So kumbe kuna muda hata wewe mwenyewe unafanya maamuzi yako bila kukihusisha kichwa?
 
una kingereza kigumu
Grammatical error,bilashaka 'your' na 'you are' huwa zinawachanganya baadhi ya watumiaji wa maneno hayo,japo katika kumaanisha alikua anania yakutumia 'you are'.
 
What do you think??
In one of your previous comments you said the males you argue with here ain't men that's why they don't seem to understand you and they are still too unlikely no matter how this discussion persists. Thereafter i threw a query to you is it becoz we ain't ready to align with what you and your fellow ladies have been saying in this thread?

Your response was "we say naked truth" of which in my interpretation you are basically telling us the way you guys viewing things based on your own perspectives is the revelation of naked truth..!! So hilarious

Maybe i should let you know about this...if bowing down to your wishes is what takes for someone to be a man, then i dont have a problem of being labelled "Kavulana"
 
Back
Top Bottom