Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aliyekwambia wanawake wazuri ni wapole nani?haiendani na huyo mlimbwende pichani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aliyekwambia wanawake wazuri ni wapole nani?haiendani na huyo mlimbwende pichani
huyo mtot mpole sana, anahitajika kuwa ubavu wangu wa kushoto, naimani tutaganga yajayo tu.😆😆😆 yaliopita tuyaache nyuma kama moshi wa ist.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aliyekwambia wanawake wazuri ni wapole nani?
huyo mtot mpole sana, anahitajika kuwa ubavu wangu wa kushoto, naimani tutaganga yajayo tu.[emoji38][emoji38][emoji38] yaliopita tuyaache nyuma kama moshi wa ist.
Basi hakika amefika katika mikono iliyo salama, naomba ajongee piemu tu ili kupatiwa muongozo kamili wa kupata sacramenti ya pendo na huba la uhakika kama umeme wa TPC. Aje tu...ntampokea 🤩[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo hapendagi wanaume wazinzi na wanyanyasaji anapendaga wanaume waaminifu na wanaotimiza majukumu yao ipasavyo halafu hawezagi ndoa za mitala anaweza ndoa za mke mmoja tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aise naona ndo sound mpya za siku hizi hizo ila huyu anapenda mwanaume atakayemsaidia kazi za nyumbani siku moja moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi hakika amefika katika mikono iliyo salama, naomba ajongee piemu tu ili kupatiwa muongozo kamili wa kupata sacramenti ya pendo na huba la uhakika kama umeme wa TPC. Aje tu...ntampokea [emoji2956]
Kumbe umebadili user name? ....kama hutojari napenda kujua hili jina lako la sasa hivi lina maana gani.Ndiyo lazima kuna majukumu yake mengine niyabague kama ambavyo yeye kuna mengine hayawezi kama kubeba mimba, kuzaa na kunyonyesha.
Hehehehe... kuwa hamjiongozi wenyewe na badala yake mnaongozwa kwa 100% au sio? Yaani hadi wewe ulivyokuwa so argumentative mpaka raia wanalala nyasi unatoa hii kauli....hahahaha noma kweliNa ndo sasa kwa sababu tunaongozwa na kichwa hatujiongozi wenyewe basi ndo mjue kwamba mambo yakienda kombo kiwiliwili hakihusiki tena bali ni kichwa maana kiwiliwili kilikuwa kinafuata kichwa tu sasa kinaingizwaje kwenye lawama tena?
Uzima upo sister.Safi brother,
Uzima upo!??????
So the viewpoint is now a virtue of naked truth?That is not our general idea but the naked truth
Yaani hata mimi kanichanganya kweli, mimi naangalia notifications nakutana na mention kibao kutoka kwa merianah. Acha nianze kujiuliza huyu merianah wa wapi tena mbona sijawahi kuiona hii id halafu kani quote kwa fujo... kumbe ni mama la mama kubwa la maadui striker hatari kuwahi kutokea EdelynNimeshangaa nime qoute Edelyn anajibu Marianah 😆😆😆 you confused me.
Hakika itapendeza sanasema na tabia za edelyn uziwache, umekuwa mtu mpya.
SOME OTHER PARTNERS WANAFIKA SEHEMU WANAKUACHA NJIANI. THE LEVEL OF THEIR PATIENCE AND STRENGTH IS NOT ENOUGH NA SIO TU KERO YA KUCHOKA KWAO BALI HAWANA HATA MBINU KABISA AU MBINU BORA ZA KUTOA KWA MWENZA WAO ILI KUWASOGEZA AU KUSOGEA WOTE KWENYE HATUA MPYA.Stephen King ,mtu maarufu kwa uandishi wa Vitabu duniani aliwahi kukataliwa Kazi zake Mara nyingi.
Aliwahi kwenda kwa wachapishaji (Publishers) wa Vitabu 30 wakikataa Kazi zake kwamba hazikuwa na ubora .
Hali hii ilimfanya aanze kukata tamaa na mafanikio.
Akiwa katika hali ya kukata tamaa aliambiwa neno kubwa na mke wake " *Mume wangu ,tusikate tamaa tuendelee kutafuta wachapishaji wengi ipo Siku tutafanikiwa tu* "
Kutokana na hilo neno la mke wake lililomtia nguvu na ujasiri aliendelea kutafuta hatimaye akapata.
Stephen King ameandika vitabu 58 na stori fupi zaidi ya 200 .
Stephen King ameshauza nakala za vitabu milioni 350 duniani mpaka sasa .
Tafiti zinaonesha kwamba Stephen King ni tajiri wa 5 katika waandishi wa vitabu duniani mwaka 2019 , akiwa na dolla million 400.
Hakika hakuna safari isiyo na changamoto katika maisha isipokuwa lazima uangalie aina ya mtu unayesafiri naye.
Mke wa Stephen King alimwambia mume wake hivi akafanikiwa
[emoji1377]
*Mume wangu ,tusikate tamaa tuendelee kutafuta wachapishaji wengi ipo siku tutafanikiwa tu*
Je, mke wako anakwambiaje unapokwama , mume wako anakwambiaje ukikwama ? Ndugu, jamaa na rafiki zako wanakwambiaje ukikwama?
Hakikisha unasafiri na mtu anayeona matatizo kwa jicho la mafanikio.
*You're the Sperm that won the race*
#Nanauka
Ujue wewe umekazania sana hiyo 50/50 utadhani mimi nimesema naipenda sana mimi najua kwamba mwanamke hayuko sawa na mwanaume na yuko chini ya mwanaumeKumbe umebadili user name? ....kama hutojari napenda kujua hili jina lako la sasa hivi lina maana gani.
Ila Edelyn bwana, yaani kabisa unaleta suala la kubeba mimba ambalo ni la kibailojia zaidi na kuliweka kwenye kundi moja na majukumu yasiokuwa na uhusiano wowote na tofauti za kibailojia kwenye muktadha wa kutimiza majukumu kati ya KE na ME?
Mimi binafsi siwezi kubeba mimba kwa sababu ya kibailojia kama ingekuwa inawezekana ningemsaidia mke wangu.,sasa je wewe kuna sababu gani hasa inayokufanya usitekeleze majukumu kama vile kulinda familia dhidi ya maadui? Kimsingi wewe huko kwenye nafasi nzuri ya kutekeleza jukumu linaweza kufanywa na mimi kuliko mimi kufanya la kwako.
Kiufupi tu hauwezi ukaifuata fifty fifty na ukaitekeleza kwa asilimia mia, lazima kuna majukumu baadhi utayakwepa na mwenzako nae ataangalia majukumu ya kutoyafanya kama kufidishia yale ambayo wewe umeyaacha. Sasa kama ikitokea ukahisi hakuna fairness na kuanza kulalamika basi wewe utakuwa unahitaji favor kwenye hili suala
Sasa tukijiongoza wenyewe si ndo huwa mnachukia hadi mnaishia kuchepuka au kuvunja ndoa? Kwani huwa mnaturuhusu tujiongoze?Hehehehe... kuwa hamjiongozi wenyewe na badala yake mnaongozwa kwa 100% au sio? Yaani hadi wewe ulivyokuwa so argumentative mpaka raia wanalala nyasi unatoa hii kauli....hahahaha noma kweli
What do you think??So the viewpoint is now a virtue of naked truth?
Hahahaha nimeona nibadilishe tu maana daahYaani hata mimi kanichanganya kweli, mimi naangalia notifications nakutana na mention kibao kutoka kwa merianah. Acha nianze kujiuliza huyu merianah wa wapi tena mbona sijawahi kuiona hii id halafu kani quote kwa fujo... kumbe ni mama la mama kubwa la maadui striker hatari kuwahi kutokea Edelyn
Basi kama ni hivyo tukubaliane kuwa mwanaume kusaidia majukumu ya kike ni hiari yake mwenyewe haijalishi hata kama mwanamke anasaidia majukumu ya kiume, hivyo hivyo pia kwa mwanamke kufanya jukumu lolote la kiume ni hiari haijalishi hata kama ME anasaidia majukumu ya kike. Maana 50/50 ni nadharia isiyowezekanika.Ujue wewe umekazania sana hiyo 50/50 utadhani mimi nimesema naipenda sana mimi najua kwamba mwanamke hayuko sawa na mwanaume na yuko chini ya mwanaume
Kwahiyo hadi hapo siamini katika hiyo 50/50 ila ninachojaribu kusema hapa ni kwamba hakikisha mkeo hafanyi majukumu mengi kuliko wewe halafu kuhusu maswala ya kubeba mimba, kuzaa na kunyonyesha kwanini usiyahesabie?
Lazima uyahesabie hata kama wewe haujaumbwa kuyafanya na ndo sasa unatakiwa umsaidie mkeo yale ambayo unaweza kuyafanya kama kuzaa lingekuwa siyo jukumu la kuhesabiwa basi hata Mungu asingesema mwanaume atakula kwa jasho lake na mwanamke atazaa kwa uchungu ila kwanini alisisitiza?
Maana yake ni kwamba hilo jukumu ni la muhimu hata kama mwanaume hawezi kulifanya kwahiyo wewe unapowaza maswala ya ulinzi chukulia ni jukumu lako tu (hata kama mwanamke anaweza kulifanya) kama ambavyo kuzaa ni jukumu la mwanamke
Kwa hiyo kumbe hamuongozwi kwa 100%? So kumbe kuna muda hata wewe mwenyewe unafanya maamuzi yako bila kukihusisha kichwa?Sasa tukijiongoza wenyewe si ndo huwa mnachukia hadi mnaishia kuchepuka au kuvunja ndoa? Kwani huwa mnaturuhusu tujiongoze?
Grammatical error,bilashaka 'your' na 'you are' huwa zinawachanganya baadhi ya watumiaji wa maneno hayo,japo katika kumaanisha alikua anania yakutumia 'you are'.una kingereza kigumu
In one of your previous comments you said the males you argue with here ain't men that's why they don't seem to understand you and they are still too unlikely no matter how this discussion persists. Thereafter i threw a query to you is it becoz we ain't ready to align with what you and your fellow ladies have been saying in this thread?What do you think??