Mtu yoyote akikuomba Umsaidie Tsh 100/= tu kabla hujamjibu 'mlambe' Kwanza Bonge la 'Kelebu' akome

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hii ni Mbinu mpya ya Wachawi (hasa wale Chuma Ulete) ambayo huitumia kwa Kukuomba Shilingi Mia Moja (Tsh 100/=) na ukijifanya Mwema, Mtoaji na mwenye Huruma jua imekula Kwako kwani Pesa zako zote zitaishia Kwake / Kwao.

Na mara nyingi hawakuombi kuanzia Mchana bali huhakikisha wanakuomba Alfajiri au Asubuhi ya kati ya Saa 3 hadi Saa 5 tu.

Kuna Mwenzao Mmoja Kajaa mwenyewe katika Frame na huu Upuuzi wao (wake) wa Kichawi (Chuma Ulete) na leo ni mara ya Pili ananilenga Mimi tu (ambaye Kiuhalisia ni Choka Mbaya kuliko JamiiForums Members Wote ) na kwa Kofi (Kelebu) nililompa akiamkia atajikuta yuko ICU Muhimbili kwani ni Kofi la 'Kishotokan' zaidi.
 
Masikini ndo huwa Wana stori za chuma ulete ...huwezi sikia mtu mwenye pesa anasema neno chuma ulete ,, naomba tutafute pesa

Ndugu Kaka Mshana Jr andiko hili lina ukweli wowote?
 
Hii habari nilishawahi kuisikia mahali, watu wanapeana tahadhari kutokubali kuwapa coins watu wasiowajua vyema. Pengine kuna substance ndani yake.

2014 nikiwa Mtwara, nilizunguka karibu maduka yote jion kutafuta chumvi nikatoka hola. Bahati nikakitana na mtu mtu wa kuja kwenye huo mji akaniambia ukisema chumvi jioni hakuna mtu atakayekupa hata ufanyeje.

Nikarudi nilipotoka, nikasema naomba DAWA YA JIKO fast nikapewa chumvi.

Mtwara na Lindi huko ndo kuna mafundi kwelikweli, kama mtu haamini haya mambo aende akaseme huko mbele zao haamini ndo ataelewa. Wala Sitanii
 
Mimi ambaye siamini katika hayo,nilishaombwa mia mara nyingi tu wakiwemo wavuta bangi lakini sijaona cho chote cha kusema eti naibiwa pesa au sijui sipati pesa! Maisha yangu naona yanasonga mbele kama kawaida.
 
Inategemea unaishi wapi mkuu, na una interact na watu wa aina gani.

Kuna mikoa kama haujajipanga kiimani, ni vyema tu ukachukua tu tahadhari.

Nilikuwa nasema kama wewe, ila 2013 nikiwa LINDI ndo ilikuwa turning point ya kujua hivi vitu si mambo ya kufikirika , na ukicheza unalamba udongo vizuri tu.
 
Sawa Mkuu nitachukua tahadhari kuanzia sasa!
 
Back
Top Bottom