Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bank ndiyo wachawi no moja, yaani Mtu unaangaika kutafuta pesa kwa jasho,ukizipata eti unawapelekea Bank wakuhifadhie huku wanaku charge gharama za kukuhifadhia kwa pesa zako mwenyewe!!Huwa nashindwa kuestablish connection ya mtu kuwa na nguvu za giza na kufeli kuibia benki
Hizo stori zilikuwepo hapa Da zamani.Hii habari nilishawahi kuisikia mahali, watu wanapeana tahadhari kutokubali kuwapa coins watu wasiowajua vyema. Pengine kuna substance ndani yake.
2014 nikiwa Mtwara, nilizunguka karibu maduka yote jion kutafuta chumvi nikatoka hola. Bahati nikakitana na mtu mtu wa kuja kwenye huo mji akaniambia ukisema chumvi jioni hakuna mtu atakayekupa hata ufanyeje.
Nikarudi nilipotoka, nikasema naomba DAWA YA JIKO fast nikapewa chumvi.
Mtwara na Lindi huko ndo kuna mafundi kwelikweli, kama mtu haamini haya mambo aende akaseme huko mbele zao haamini ndo ataelewa. Wala Sitanii
Siyo Wapumbavu kama Wewe Okay?Nashindwa kuelewa Mods wakwapi mada za kipuuzi km hizi wanaziacha tuu
Sent using Jamii Forums mobile app