GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hii ni Mbinu mpya ya Wachawi (hasa wale Chuma Ulete) ambayo huitumia kwa Kukuomba Shilingi Mia Moja (Tsh 100/=) na ukijifanya Mwema, Mtoaji na mwenye Huruma jua imekula Kwako kwani Pesa zako zote zitaishia Kwake / Kwao.
Na mara nyingi hawakuombi kuanzia Mchana bali huhakikisha wanakuomba Alfajiri au Asubuhi ya kati ya Saa 3 hadi Saa 5 tu.
Kuna Mwenzao Mmoja Kajaa mwenyewe katika Frame na huu Upuuzi wao (wake) wa Kichawi (Chuma Ulete) na leo ni mara ya Pili ananilenga Mimi tu (ambaye Kiuhalisia ni Choka Mbaya kuliko JamiiForums Members Wote ) na kwa Kofi (Kelebu) nililompa akiamkia atajikuta yuko ICU Muhimbili kwani ni Kofi la 'Kishotokan' zaidi.
Ndugu Kaka Mshana Jr andiko hili lina ukweli wowote?Hii ni Mbinu mpya ya Wachawi (hasa wale Chuma Ulete) ambayo huitumia kwa Kukuomba Shilingi Mia Moja (Tsh 100/=) na ukijifanya Mwema, Mtoaji na mwenye Huruma jua imekula Kwako kwani Pesa zako zote zitaishia Kwake / Kwao.
Na mara nyingi hawakuombi kuanzia Mchana bali huhakikisha wanakuomba Alfajiri au Asubuhi ya kati ya Saa 3 hadi Saa 5 tu.
Kuna Mwenzao Mmoja Kajaa mwenyewe katika Frame na huu Upuuzi wao (wake) wa Kichawi (Chuma Ulete) na leo ni mara ya Pili ananilenga Mimi tu (ambaye Kiuhalisia ni Choka Mbaya kuliko JamiiForums Members Wote ) na kwa Kofi (Kelebu) nililompa akiamkia atajikuta yuko ICU Muhimbili kwani ni Kofi la 'Kishotokan' zaidi.
"Toa ndugu, toa ndugu, ulicho nacho wewe ,Bwana anakuona"Hii ni Mbinu mpya ya Wachawi (hasa wale Chuma Ulete) ambayo huitumia kwa Kukuomba Shilingi Mia Moja (Tsh 100/=) na ukijifanya Mwema, Mtoaji na mwenye Huruma jua imekula Kwako kwani Pesa zako zote zitaishia Kwake / Kwao...
Sawa Milionea wa Jamiiforums nzima.Masikini ndo huwa Wana stori za chuma ulete ...huwezi sikia mtu mwenye pesa anasema neno chuma ulete ,, naomba tutafute pesa
Waswahili kazi hamfanyi mnalalamika chuma ulete mnaibiana wenyewe kwann chuma ulete hawaendi kwa kina moSawa Milionea wa Jamiiforums nzima.
Nasikia hawataki, na unaweza kula mvua ya matusi hadi ushangae na roho yako-Na buku yako utatupiwa.Akikuomba 100 mpe 1000
Inategemea unaishi wapi mkuu, na una interact na watu wa aina gani.Mimi ambaye siamini katika hayo,nilishaombwa mia mara nyingi tu wakiwemo wavuta bangi lakini sijaona cho chote cha kusema eti naibiwa pesa au sijui sipati pesa! Maisha yangu naona yanasonga mbele kama kawaida.
Ngoja nikumalize ishomire[emoji857][emoji857][emoji857]Jf penyewe wapo chuma ulete, aki ku quote ukafanya ku reply umeisha kiuchumi na ki fikra
Sawa Mkuu nitachukua tahadhari kuanzia sasa!Inategemea unaishi wapi mkuu, na una interact na watu wa aina gani.
Kuna mikoa kama haujajipanga kiimani, ni vyema tu ukachukua tu tahadhari.
Nilikuwa nasema kama wewe, ila 2013 nikiwa LINDI ndo ilikuwa turning point ya kujua hivi vitu si mambo ya kufikirika , na ukicheza unalamba udongo vizuri tu.