Mtu yoyote akikuomba Umsaidie Tsh 100/= tu kabla hujamjibu 'mlambe' Kwanza Bonge la 'Kelebu' akome

Huwa nashindwa kuestablish connection ya mtu kuwa na nguvu za giza na kufeli kuibia benki
Bank ndiyo wachawi no moja, yaani Mtu unaangaika kutafuta pesa kwa jasho,ukizipata eti unawapelekea Bank wakuhifadhie huku wanaku charge gharama za kukuhifadhia kwa pesa zako mwenyewe!!
 
Hizo stori zilikuwepo hapa Da zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…