Mtuhumiwa mauaji ya padre Mushi hana hatia

Mtuhumiwa mauaji ya padre Mushi hana hatia

Mbogo Junior

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2012
Posts
248
Reaction score
66
Yule mtuhumiwa wa mauaji ya padre Mushi ameonekana hana hatia kwa mujibu wa DPP Zanzibar na kutaka jeshi la polisi limtafute muhusika.
Habari na ITV saa 2
 
Yule mtuhumiwa wa mauaji ya padre Mushi ameonekana hana hatia kwa mujibu wa DPP Zanzibar na kutaka jeshi la polisi limtafute muhusika.
Habari na ITV saa 2
FBI, Polisi wetu.... Kumbe ilikuwa zuga....
 
mtu aliyewahi kuua haachi!hii ina maana usalama wa mapadre bado uko hatarini.polisi watumie kodi zetu kumpata muuaji full stop.
 
wakil wa muwaji,kaomba mteja wake apelekwe mahakaman.toka kakamatwa yapata mwezi 1 yuko polic kwann acpelekwe mahakaman?
 
Nimeshangazwa NA hii taarifa baada ya kuisikia kupitia ITV. Kwa hiyo ina maana polisi wetu na FBI walikuwa NA wamefanya kazi bure? Mchoro wa uongo, kazi yote isiyo na mafanikio. Hadi polisi kupeleka jalada kwa DPP ina maana ushahidi upo wa kutosha, Hapa imekuwaje? Wanawabambikia watu kesi? DPP anawajua wauaji? Kusema mtuhumiwa aachiliwe huru si jambo dogo. Hii imekaaje?Tanzania nchi yangu nakupenda kwa moyo wote. FBI wameshindwa kazi Tanzania. It sounds good. Viva watengeneza movie.
 
sasa yule kamishna wa polis zanzibar alivyojitamba hakulijua hili? kweli bongo kila kitu siasa!
 
Shida yao walijifanya kumjibu Pengo haraka haraka haya sasa sijui itakuwaje?
 
Shida yao walijifanya kumjibu Pengo haraka haraka haya sasa sijui itakuwaje?
Kumbe nchi hii inaongozwa na Pengo!

Nikiitafsiri timing ya kauli ya Pengo kabla ya Pasaka ilikuwa ni kuitisha serikali kuwa wangetoa tamko zito wakati wa Pasaka.

Polisi wakamkamata asiye na hatia ili kupima upepo, Pasaka imepita bila ya tukio au tamko lolote la maana kutoka kwa Maaskofu...hivyo asiye na hatia anaachiwa sasa.

Maaskofu wanatuharibia nchi!
 
Kwa ufahamu wangu, majalada yote yanayohusu kesi za mauaji bara na visiwani ni lazima yapite katika ofisi za dpp ambaye anasoma ushahidi uliokusanywa ili kujiridhisha kama unatosha kufungua mashtaka au la hivyo basi watuhumiwa wengi kabla ya tukio hili walishawahi achiliwa kwa utaratibu huu, labda tu kwa sababu tuhuma za wengine hazikutangazwa kama za huyu aliyeachiwa wakati huu.
Kazi ya mahakama ni ipi kama DPP aweza tu kusema mtuhumiwa hana hatia? Uhuni wa wazi!
 
Back
Top Bottom