Mbogo Junior
JF-Expert Member
- Jan 21, 2012
- 248
- 66
Yule mtuhumiwa wa mauaji ya padre Mushi ameonekana hana hatia kwa mujibu wa DPP Zanzibar na kutaka jeshi la polisi limtafute muhusika.
Habari na ITV saa 2
Habari na ITV saa 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FBI, Polisi wetu.... Kumbe ilikuwa zuga....Yule mtuhumiwa wa mauaji ya padre Mushi ameonekana hana hatia kwa mujibu wa DPP Zanzibar na kutaka jeshi la polisi limtafute muhusika.
Habari na ITV saa 2
Hii ndiyo Yanga! Ooop hii ndio Bongo.
Kumbe nchi hii inaongozwa na Pengo!Shida yao walijifanya kumjibu Pengo haraka haraka haya sasa sijui itakuwaje?
Kazi ya mahakama ni ipi kama DPP aweza tu kusema mtuhumiwa hana hatia? Uhuni wa wazi!