Mtuhumiwa wa uhaini kuaga dunia kwa utetezi wenye kurasa elfu moja kizimbani.

Mtuhumiwa wa uhaini kuaga dunia kwa utetezi wenye kurasa elfu moja kizimbani.

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Je,
hiyo inaashiria kwamba mwanasheria huyo mwenye maneno mengi matupu amefikia ukomo wa kufikiri kisheria na amegundua kwamba hakuna uwezekano tena na wala namna yoyote ile ya kujibandua wala kujinasua kitanzini au amegundua nini kwa maoni yako?šŸ’

inna lillahi wa inna ilahi rajirun


Mungu Ibariki Tanzania
 
Naona umeanza kusheherekea, alika watu au unasheherekea peke yako?
ndio nakuuliza sherehe imepangwa na heche kufanyika hq au itakua wapi gentleman, maana sio kwa kumkaanga kule kizimabini:pedroP:
 
Kumbe bado hamjapanga mnapoanzia ni wewe umamua tu kuanza shamrashamra, ila mkianza nitapita Lumumba nikuone unavyoselebuka
ila viongozi wa chadema taifa,
wakiongozwa na heche wamaemfanyia kitu mbaya sana mwenyekiti wao,
kweli si kweli gentleman? :pedroP:
 
Je,
hiyo inaashiria kwamba mwanasheria huyo mwenye maneno mengi matupu amefikia ukomo wa kufikiri kisheria na amegundua kwamba hakuna uwezekano tena na wala namna yoyote ile ya kujibandua wala kujinasua kitanzini au amegundua nini kwa maoni yako?šŸ’

inna lillahi wa inna ilahi rajirun


Mungu Ibariki Tanzania
Umeongozwa na shetani kuandika apa.Kwaufupi shetani ameandika Uzi jf
 
Umeongozwa na shetani kuandika apa.Kwaufupi shetani ameandika Uzi jf
kwahiyo mtakatifu mnafiki wa wafuata mkumbo,
mtuhumiwa uhaini aliindanganya mahakama na wafuasi wake kwamba ataaga dunia kwa utetezi wenye kurasa elfu moja kizimbani, right? :pedroP:
 
Toa location, tunaanzia sherehe wapi?
huenda heche akapitisha bakuli la tone tone ya mwisho ili pendekezo lako lifanyike chadema hq kusherehekea kurasa elfu moja za maneo ya kuaga dunia :1Head:
 
Je,
hiyo inaashiria kwamba mwanasheria huyo mwenye maneno mengi matupu amefikia ukomo wa kufikiri kisheria na amegundua kwamba hakuna uwezekano tena na wala namna yoyote ile ya kujibandua wala kujinasua kitanzini au amegundua nini kwa maoni yako?šŸ’

inna lillahi wa inna ilahi rajirun


Mungu Ibariki Tanzania
ZILAANIWE SHAHAWA CHAFU ZA BABA YAKO ALIZOMKOJOLEA MAMA YAKO UKAZALIWA BWABWA
 
Kwani mume wa namba moja naye aliandika kurasa ngapi?

Siasa zimewaharibu nyie watu
ni vizuri kujikita kwenye hoja mahususi mezani bila kujaribu kuhamisha mjadala na itapendeza zaidi gentleman:1Head:
 
Back
Top Bottom