Mtuhumiwa wa uhaini kuaga dunia kwa utetezi wenye kurasa elfu moja kizimbani.

Mtuhumiwa wa uhaini kuaga dunia kwa utetezi wenye kurasa elfu moja kizimbani.

Yeah....ndio somo la Jumapili hii. Na Njia za Mwenyezi Mungu ni tofauti na za wanadamu.

Mwenye Tanzania ataendelea kuimiliki...
Yes,
Imeandikwa,

"Kwa maana alie na kitu ataongezewa, na yule asie na kitu hata kidogo alichokua nacho atanyang'anywa" Marko 4:25.


🐒
 
Uhaini ni nini?
Je, Lissu ni muhaini?
uhaini ni kile kitakachomtia hatiani muhalifu wa uhaini, siku chache zijazo za usoni gentleman.

ni vizuri sana kua wastahilivu na wenye subra kwenye jambo hili 🐒
 
Kama mtu siyo low-minded thinker hawezi kudiscuss mada kama hii.
 
Kama mtu siyo low-mind thinker hawezi kudiscuss mada kama hii.
 
Yes,
Imeandikwa,

"Kwa maana alie na kitu ataongezewa, na yule asie na kitu hata kidogo alichokua nacho atanyang'anywa" Marko 4:25.


🐒

Na aliyepora je? Trust me....hakuna defined world.

MAbadiliko yaja na yaja na machungu mengi
 
Back
Top Bottom