Mtuhumiwa wa uhaini kuaga dunia kwa utetezi wenye kurasa elfu moja kizimbani.

Je,
hiyo inaashiria kwamba mwanasheria huyo mwenye maneno mengi matupu amefikia ukomo wa kufikiri kisheria na amegundua kwamba hakuna uwezekano tena na wala namna yoyote ile ya kujibandua wala kujinasua kitanzini au amegundua nini kwa maoni yako?šŸ’

inna lillahi wa inna ilahi rajirun

Mungu Ibariki Tanzania
Alisalimika mbele ya risasi 16+
Aje mmue kwa kesi ya mchongo?

By the way mtatangulia mmoja mmoja kati yenu mtamuacha na kesi atashinda!
 
hizo porojo hazihusiani na hoja mahususi mezani gentleman.

waeleze tu wadau wa jf ukiwa umerelax,
unadhani ni kwanini mtuhumiwa wa uhaini kaamua kuaga dunia kizimbani kwa utetezi wa kurasa elfu 1?

amesense nini kwa mfano? :pedroP:
 
Tilalila katika moja na mbili šŸ˜†šŸ˜†šŸ˜†
 
Je Unalipwa kueneza chuki?? sisi sote ni watanzania sifurahii mtanzania kuteseka, hata sisi tunataka kuishi kama Singapore unapata faida Gani kushangilia mateso ya mtanzania mwenzako sababu sio babaako sio au sababu ana mtazamo tofauti tijiponye cheers.
 
CHuku ulionayo kwa huyoo baba wa watu..kazi kweli..tunza maneno ya MUNGU mengi mzee shauri yako
 
Hivi Tlaatlaah wewe ni AI au ni nani? hulali humu ndani, kila post za kisiasa umo au ni robot la ku-comment kwenye kila jambo? yaani hukosekani, hata AI wakati mwingine inachoka... we huchoki?
 
Je,
hiyo inaashiria kwamba mwanasheria huyo mwenye maneno mengi matupu amefikia ukomo wa kufikiri kisheria na amegundua kwamba hakuna uwezekano tena na wala namna yoyote ile ya kujibandua wala kujinasua kitanzini au amegundua nini kwa maoni yako?šŸ’

inna lillahi wa inna ilahi rajirun

Mungu Ibariki Tanzania
We endelea na dua lako tu....

Wenzio walifanya dua kama wewe na wakaona haitoshi wakatumia silaha za kivita na kumminia risasi za kutosha....

Badala yake kidume kikasavaivu na wenye dua zao na maagizo yao ya kutumia marisasi wakatangulia wao kuliwa na funza wenye njaa kali....
1789862068672.png
 
Je,
hiyo inaashiria kwamba mwanasheria huyo mwenye maneno mengi matupu amefikia ukomo wa kufikiri kisheria na amegundua kwamba hakuna uwezekano tena na wala namna yoyote ile ya kujibandua wala kujinasua kitanzini au amegundua nini kwa maoni yako?šŸ’

inna lillahi wa inna ilahi rajirun

Mungu Ibariki Tanzania
Nakupa wiki moja utubu la sivyo Mungu atakupa pigo kubwa na baya zaidi.
Huwezi kufurahia binadamu mwenzio ateseke kwa hila,kisa unapewa pesa.
Na iwe kama Mungu aishivyo.
 
Je,
hiyo inaashiria kwamba mwanasheria huyo mwenye maneno mengi matupu amefikia ukomo wa kufikiri kisheria na amegundua kwamba hakuna uwezekano tena na wala namna yoyote ile ya kujibandua wala kujinasua kitanzini au amegundua nini kwa maoni yako?šŸ’

inna lillahi wa inna ilahi rajirun

Mungu Ibariki Tanzania

Taifa letu linahitaji mabadiliko ya kweli ya namna tunapovyopata viongozi na wanavyowajibika. Inawezekana na wewe ulienda kumpigia magoti. Sisi wanadamu tunayepaswa kumpigia magoti, ni Mwenyezi Mungu peke yake.....haya yanayoendelea sasa yanatoa taswira ya nini kinachoendelea.

Lakini pia, kufa ni wajibu wetu sote....kwa msiba wetu haujaisha...hata ukija mwingine, haina maana ndio mwisho wa kuzikana.

Binafsi, naamini kabisa kuwa tunaenda sehemu ambayo itatulazimisha kubadilika na kubadilisha mambo mengi...moja ya viashiria hivyo ni hii kesi.

Namalizia kukumbusha kwamba, kifo ni hatua nyingine ya mtiririko wa maisha yetu. Hakuna namna tutakwepa kufa. Especially kwetu wakristu, Mathayo 12:24 inasema hivi...."Amin, amin nawaambia, mbegu ya ngano isipoanguka ardhini na kufa, hubakia kama mbegu peke yake. Lakini ikifa, huzaa mbegu nyingi."
 
Gentleman,
"kwangu mimi kuishi ni Kristo na kufa ni faida " wafilipi 1:21.

hizo porojo na ramli zingine ni hot air tu kwangu politically speaking.

Ukikiuka sheria unawajibishwa kwa mujibu wa sheria, full stop.šŸ’
 
Yeah....ndio somo la Jumapili hii. Na Njia za Mwenyezi Mungu ni tofauti na za wanadamu.

Mwenye Tanzania ataendelea kuimiliki...
 
Back
Top Bottom