Alisalimika mbele ya risasi 16+Je,
hiyo inaashiria kwamba mwanasheria huyo mwenye maneno mengi matupu amefikia ukomo wa kufikiri kisheria na amegundua kwamba hakuna uwezekano tena na wala namna yoyote ile ya kujibandua wala kujinasua kitanzini au amegundua nini kwa maoni yako?π
inna lillahi wa inna ilahi rajirun
Mungu Ibariki Tanzania
hizo porojo hazihusiani na hoja mahususi mezani gentleman.Alisalimika mbele ya risasi 16+
Aje mmue kwa kesi ya mchongo?
By the way mtatangulia mmoja mmoja kati yenu mtamuacha na kesi atashinda!
ila wa CCM ndio wamemfanyia zuri sio?ila viongozi wa chadema taifa,
wakiongozwa na heche wamaemfanyia kitu mbaya sana mwenyekiti wao,
kweli si kweli gentleman?
Teh teh tehkaribu sana mchochezi
Teh teh teheheeeei'm sorry gentleman,
Maoni gani we chawa pro max?andikia uzi mahususi ili tupate maoni ya wadau wa JF na itapendeza zaidi
Mihemko unayo ww unaefisia wajinga wenzako kwa kufanya ujinga wenutuliza mihemko bas gentleman π
We endelea na dua lako tu....Je,
hiyo inaashiria kwamba mwanasheria huyo mwenye maneno mengi matupu amefikia ukomo wa kufikiri kisheria na amegundua kwamba hakuna uwezekano tena na wala namna yoyote ile ya kujibandua wala kujinasua kitanzini au amegundua nini kwa maoni yako?π
inna lillahi wa inna ilahi rajirun
Mungu Ibariki Tanzania
Nakupa wiki moja utubu la sivyo Mungu atakupa pigo kubwa na baya zaidi.Je,
hiyo inaashiria kwamba mwanasheria huyo mwenye maneno mengi matupu amefikia ukomo wa kufikiri kisheria na amegundua kwamba hakuna uwezekano tena na wala namna yoyote ile ya kujibandua wala kujinasua kitanzini au amegundua nini kwa maoni yako?π
inna lillahi wa inna ilahi rajirun
Mungu Ibariki Tanzania
Je,

Gentleman,Taifa letu linahitaji mabadiliko ya kweli ya namna tunapovyopata viongozi na wanavyowajibika. Inawezekana na wewe ulienda kumpigia magoti. Sisi wanadamu tunayepaswa kumpigia magoti, ni Mwenyezi Mungu peke yake.....haya yanayoendelea sasa yanatoa taswira ya nini kinachoendelea.
Lakini pia, kufa ni wajibu wetu sote....kwa msiba wetu haujaisha...hata ukija mwingine, haina maana ndio mwisho wa kuzikana.
Binafsi, naamini kabisa kuwa tunaenda sehemu ambayo itatulazimisha kubadilika na kubadilisha mambo mengi...moja ya viashiria hivyo ni hii kesi.
Namalizia kukumbusha kwamba, kifo ni hatua nyingine ya mtiririko wa maisha yetu. Hakuna namna tutakwepa kufa. Especially kwetu wakristu, Mathayo 12:24 inasema hivi...."Amin, amin nawaambia, mbegu ya ngano isipoanguka ardhini na kufa, hubakia kama mbegu peke yake. Lakini ikifa, huzaa mbegu nyingi."
Gentleman,
"kwangu mimi kuishi ni Kristo na kufa ni faida " wafilipi 1:21.
hizo porojo na ramli zingine ni hot air tu kwangu politically speaking.
Ukikiuka sheria unawajibishwa kwa mujibu wa sheria, full stop.π