Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
yeah,hizo camera zitakua zinatumia infrared kusense heat from the surround area then zinapata figure .utaona kwamba hapo umbo la mtu limekua configured by heat emnating from the body apart from the heat coming from the surrounding area he was in.impressive! kumbe hata ujifiche ndani ya nyumba mtu unaonekana. Jamani hu mtumbwi au boti?
Nakumbuka enzi za vietnam war,wale vietcong waliwahangaisha sana wamerikani na maficho yao yalikua kwenye misitu minene kule vietnam ambako wamerekani kila wakijaribu kuingia walikua wanakufa sana.wakaja na wazo la kutumia heatseaking missile.makombora yanadondoshwa na B52 na yanafuata any source of hit from the targeted forest.
Wakawaua sana wavietcong mpaka jamaa wakaja na mbinu ya kuwa wanakojolea mitungi na kuiacha wamerekani wanakuja kumaliza makombora wakishambulia mitungi ya mikojo.
Wamerekani kugundua wanaingia mkenge ikabidi waamue kutumia silaha za sumu,chemical weapons kuipiga hiyo mistu ndo maana mpaka leo wavietnam bado wanazaa viwete wa ajabu sana kwa madhara ya hizo silaha za sumu.