Kama ni mwanaume basi awasema RC kwenye orodha.Huyu jamaa ni muuza dawa za kulevya mkuu,,usione anajitoa akiliHaya, wote watatajwq nankuanikwa hadharani. Bila shaka sasa utapeli wa kutumia neno la Mungu unafikia mwisho. Natamani kombora la kwanza lidondokee Ubungo Maji.
View attachment 3372445
Na yule aliyemshambulia father Kitima ndiye muumini wa kweli anayejua neno la Mungu Ndio mana hata polisi wameamua kuachana nae licha ya aliyetoa vitisho kuwa anafahamika ni kada wa Chama Cha mapinduzi!Huyu ndiye mtumishi wa Mungu wa kweli mwenye kulijua neno la Mungu na kuhubiri ukweli wa Mungu.
Yaani watu watapigwa za mbavu"Kiama kinakuja"
View attachment 3372465
Mshakula buku saba zenu saaaafi, mnakuja kujazana ujinga hapa JF asubuhi yote hiiHuyu ndiye mtumishi wa Mungu wa kweli mwenye kulijua neno la Mungu na kuhubiri ukweli wa Mungu.
Yaani watu watapigwa za mbavu
Mtu mpumbavu hujisifia kwa kutumia nguvu au ukatili dhidi ya wale wanaomkosoa, badala ya kujibu kwa hoja au mantiki.”Yaani watu watapigwa za mbavu
Una hakika kanisa limefutwaBashando yuko sahihi
Amani ya nchi ni jukumu la kila mwananchi
Hoyo network ipo kama anavyosema
Serikali imeanza vizuri kwa kufuta kanisa la Gwajima.Head wa hiyo network .Aliyokuwa akiijenga na hao wahuni wahuni akina Kabigumiila nk
Kanisa la Gwajima limefutwa, kajaribu kwenda kusali pale utauona motoUna hakika kanisa limefutwa
Unajua kama Kuna mgongano juu ya Barua aliyoandika Msajili na majibu ya waziri as per rufaa iliyokatwa na wanachokifanya polisi? Why neno amani lina-outshine neno Haki!?
Btw Kwanini speaker Tulia Ackson anamlalamikia mahakama kubatilisha Sheria ya Kinga ya kutoshtakiwa Kwa viongozi wa serikali? Huoni kama analilia impunity iwe sehemu ya Maisha ya Tanzania?
Bado hajajibu hoja ya utekaji pia na yeye anachanganya diini na siasa. Au kumtetea mama siyo kuchanganya dini na siasa ila kumkosoa tuHaya, wote watatajwq nankuanikwa hadharani. Bila shaka sasa utapeli wa kutumia neno la Mungu unafikia mwisho. Natamani kombora la kwanza lidondokee Ubungo Maji.
View attachment 3372445
Huyu muuza ngada anatafuta kichaka cha kujifichia na biashara yake haramu.Haya, wote watatajwq nankuanikwa hadharani. Bila shaka sasa utapeli wa kutumia neno la Mungu unafikia mwisho. Natamani kombora la kwanza lidondokee Ubungo Maji.
View attachment 3372445