Mtume Bashanda ajiapiza kupambana na maaskofu na manabii njaa na matapeli wanaosambaza ujumbe wa chuki

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Haya, wote watatajwq nankuanikwa hadharani. Bila shaka sasa utapeli wa kutumia neno la Mungu unafikia mwisho. Natamani kombora la kwanza lidondokee Ubungo Maji.

Huyu ndiye mtumishi wa Mungu wa kweli mwenye kulijua neno la Mungu na kuhubiri ukweli wa Mungu.
Na yule aliyemshambulia father Kitima ndiye muumini wa kweli anayejua neno la Mungu Ndio mana hata polisi wameamua kuachana nae licha ya aliyetoa vitisho kuwa anafahamika ni kada wa Chama Cha mapinduzi!
Wewe ni matako mwingine!
Kama kusema kuteka na kuuwa ni kosa what kind of impunity can that be!
 
"Kiama kinakuja"
IMG_1516.jpeg
 
Bashando yuko sahihi
Amani ya nchi ni jukumu la kila mwananchi
Hoyo network ipo kama anavyosema

Serikali imeanza vizuri kwa kufuta kanisa la Gwajima.Head wa hiyo network .Aliyokuwa akiijenga na hao wahuni wahuni akina Kabigumiila nk
 
Una hakika kanisa limefutwa
Unajua kama Kuna mgongano juu ya Barua aliyoandika Msajili na majibu ya waziri as per rufaa iliyokatwa na wanachokifanya polisi? Why neno amani lina-outshine neno Haki!?

Btw Kwanini speaker Tulia Ackson anamlalamikia mahakama kubatilisha Sheria ya Kinga ya kutoshtakiwa Kwa viongozi wa serikali? Huoni kama analilia impunity iwe sehemu ya Maisha ya Tanzania?
 
Kanisa la Gwajima limefutwa, kajaribu kwenda kusali pale utauona moto
 
Haya, wote watatajwq nankuanikwa hadharani. Bila shaka sasa utapeli wa kutumia neno la Mungu unafikia mwisho. Natamani kombora la kwanza lidondokee Ubungo Maji.
View attachment 3372445
Bado hajajibu hoja ya utekaji pia na yeye anachanganya diini na siasa. Au kumtetea mama siyo kuchanganya dini na siasa ila kumkosoa tu
 
Back
Top Bottom