CHADEMA hawana vitega uchumi kama CCM,ambayo hadi vyama shikizi kulwa na doto,namaanisha ACT na CHAUMA.. hupewa mgao.hivi yule Askofu wa kanisa la chadema anaitwa nani?
yule ambae kofia yake hua inampwaya na huenda anayo moja tu 🐒
Kuna vitu hamvielewi, Ccm hawana huruma, kuna watu kama huyu akipewa mualiko kwenda Dodoma hawezi kukataa, mama anamtumaga Chalamila anampelekea sadaka yake Kawe.Matapeli lazima yawe upande CCM
Mungu wa wehu....Baaasi...... Mama ni mpango wa Mungu
Viongozi wa taifa la malofa...Mwamposa ni watumishi wengine wa Mungu wawe mashekhe, mapadre, wachungaji n.k. ni waalikwa wa mikutano hii kwani pia ni wadau wakubwa wa maendeleo ya taifa hili.
Watu wanaowaongoza kiroho ndio hao hao wanaongozwa na Serikali wakiwemo viongozi wetu wa taifa.
Viongozi wa taifa la malofa...
Kwenye picha ni Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Mtume Boniface Mwamposa maarufu ‘Bulldozer’ akishiriki mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa leo Mei 30, 2025 Jijini Dodoma.
Ni nabii. Alitabiri Simba itachukua kombe na ikashindwaKwa hiyo huyu ni mtume au sio?....
Na bado
SureKuna vitu hamvielewi, Ccm hawana huruma, kuna watu kama huyu akipewa mualiko kwenda Dodoma hawezi kukataa, mama anamtumaga Chalamila anampelekea sadaka yake Kawe.
Na ccm kwa kutapanya pesa huyo unakuta amepewa ticket ya ndege na amelipiwa hotel ya nyota ya kevel za Dodoma hotel.
Kuna watu lazima muwaelewe situation zao otherwise huwezi kutobowa.
Utume alipewa na mungu yupi? Huyo ni mpigaji tu km hao ccmKwenye picha ni Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Mtume Boniface Mwamposa maarufu ‘Bulldozer’ akishiriki mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa leo Mei 30, 2025 Jijini Dodoma.
Uliona alipewa jukwaa kuhutubia kama ambavyo huwapa Chadema akina Askofu Mwamakula?Hapo hachanganyi Dini na SIASA.... Akiwapinga CCM wale CHAWA wote wanajitokeza kuanza kuropoka
Samia ni Raisi ana kofia mbiliNimeshangaa channel ya Ikulu ya YouTube inarusha mkutano wa CCM.
Yaani wanashindwa kutofautisha mali za umma na chama?
Kuna vingapi vya serikali ambavyo ni mali ya walipa kodi CCM inavitumia?
Ikulu inahudumiwa na wanaccm?Samia ni Raisi ana kofia mbili
Alipo wanarusha