PreGE2025 Mtume Boniface Mwamposa ndani ya mkutano Mkuu wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wewe ndiye msemaji wake?.Maana unamtetea sana.Angalia asije akakushangaza ni mwanachama hai.
Wewe hujui kitu, pale Tanganyika Packers alikuwepo Gwajima wakati Mwamposa yupo Mwenge.

Usidhani Gwajima aliondoka kwa kupenda pale Tanganyika packers.
 
Naona huyo boya hapo hachanganyi dini na siasa ila akikemea mambo ya utekaji tu tayari kaingilia siasa.....

Wajinga ndio waliwao.
 
Alikwenda kuwaombea kundi gani humo kati ya wanaoteka wenzao na kuwapoteza au wanaopinga utekaji?
Kwenye picha ni Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Mtume Boniface Mwamposa maarufu ā€˜Bulldozer’ akishiriki mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa leo Mei 30, 2025 Jijini Dodoma.

 
Utoboe kwenda wapi!!?
 
Kwenye picha ni Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Mtume Boniface Mwamposa maarufu ā€˜Bulldozer’ akishiriki mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa leo Mei 30, 2025 Jijini Dodoma.

Watu wanashiriki haramu halafu wanajita watumishi wa mungu!? Ni mungu gani huyu wanaye muongelea anaye penda wanafiki, hawa ni matapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…