Mtume Boniphace Mwamposa amtembelea Paul Makonda ofisini kwake Arusha

Uzuri wa Makonda ni kwamba keshajua kuwa "siasa ni mchezo mchafu " hivyo kajiandaa ipasavyo. Hata kama akichafuka, anajua sabuni za kujikosha zinapatikana wapi.
Nimeona.

Kaamua Kama mbwai na iwe mbwai.

Kuanzia hii April 2024 kwenda December 2025 mpaka April 2026….. Muumba atupe afya njema na uhai mrefu, yapo mengi ya kushuhudia.
 
Aisee tuna viongozi wa dini wanafiki Sana, wanaangalia upepo unavyovuma.
 
Ambitious Makonda [emoji1787][emoji1787]
Ukitazama sura yake tu utaona D mbili kweli hakupata
Anatamani aanzishe serikali yake ndani ya serikali awaadhibu wasiomkubali
 
Watu waovu hutumia imani kuficha dhambi zao let's see nguvu kubwa kuonekana mwema
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hawa ni patners in crime
 
Hawa watu ni wamoja kwenye mambo yao.
watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…