Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona ndio maana ya nabii mkuu 😀 😀Kwamba mtume nae ana mitume wenzake?Huo utume na unabii wameuchota wapi? Kama sio mambo ya wasanii na usanii wao basi Goodluck yuko sawa kabisa(japo kisheria inaweza kuwa sio sawa)
Bro maswali yako magumu sana.Hivi hawa mitume huwa wanapatikanaje?
And he has Guts Tako la nyani kuita "Ki harrier"Mwamba anavimba na ki vitara chake🤣
KWanini mungu wake asingemkataza kabla hajalichukuaKwamba mtume nae ana mitume wenzake?Huo utume na unabii wameuchota wapi? Kama sio mambo ya wasanii na usanii wao basi Goodluck yuko sawa kabisa(japo kisheria inaweza kuwa sio sawa)
miungu migeni!!Mtume kanisani kwa nabii mkuu GeorDavie afichua ukweli ishu ya nyota na gari aliyochoma Goodluck Gozbert, kinachomtesa msanii huyo wa nyimbo za injili
View attachment 3213812
View attachment 3213814
Pia, Soma: Masanja Mkandamizaji aililia Benz iliyochomwa moto na Goodluck Gozbert
Kumbe kupewa gari ni muuujiza mkubwa sanaaa aiseeMtume kanisani kwa nabii mkuu GeorDavie afichua ukweli ishu ya nyota na gari aliyochoma Goodluck Gozbert, kinachomtesa msanii huyo wa nyimbo za injili
View attachment 3213812
View attachment 3213814
Pia, Soma: Masanja Mkandamizaji aililia Benz iliyochomwa moto na Goodluck Gozbert
Aisee kumbe kumuona naye mpaka helaMwaka 2012 nilienda Kisongo nikitaka niombewe na Nabii Mkuu bila kujua kuwa natakiwa niwe na laki kadhaa kumwona Nabii.... niliishia kupata maombi ya jero kutoka kwa mfanyakazi wa GeorDavie.
Hela ndefu sana bro. Yule kiboko ya wachawi kuna vitu alikosea wala shida sio laki 5 alikuwa anachaji. Wenzake wanachaji zaidi ya hiyo.Aisee kumbe kumuona naye mpaka hela
Ova
Kisheria anatakiwa kulipa faini uchafunzi mazingiraKwamba mtume nae ana mitume wenzake?Huo utume na unabii wameuchota wapi? Kama sio mambo ya wasanii na usanii wao basi Goodluck yuko sawa kabisa(japo kisheria inaweza kuwa sio sawa)
Mmmmm huwezi kujua mwanzoni....hadi uiongie uvheze uutajuayaloyomo....mkuu kama alijua hivyo kwanini alikubali kupokea
Hii ndio siri ambayo wengi hawaijui..anaweka ulimbo kwa kugawa gari kwa msanii mmoja, afu wajinga kadhaa wanapigwa kwa kujipeleka wenyewe ili kuombewa kwa malipo ya kuanzia laki tanoMwaka 2012 nilienda Kisongo nikitaka niombewe na Nabii Mkuu bila kujua kuwa natakiwa niwe na laki kadhaa kumwona Nabii.... niliishia kupata maombi ya jero kutoka kwa mfanyakazi wa GeorDavie.