Mtume kanisani kwa GeorDavie afichua ukweli ishu ya nyota na gari alilochoma Goodluck

Hivi hawa waimbaji na umaarufu wao 20 m ni shughuli? Maana hiyo Benzy haizidi 16m, na zawadi ya 2m, kumbe ni maskini wa kawaida????
 
Kwamba mtume nae ana mitume wenzake?Huo utume na unabii wameuchota wapi? Kama sio mambo ya wasanii na usanii wao basi Goodluck yuko sawa kabisa(japo kisheria inaweza kuwa sio sawa)
Naona ndio maana ya nabii mkuu 😀 😀
 
Subhaan Allah .. eti baba yetu nabii mkuu mtakatifu... Makafiri wanamambo sana utakuta wanamuabudu huyo wanayemuita nabii mkuu
 
Kwamba mtume nae ana mitume wenzake?Huo utume na unabii wameuchota wapi? Kama sio mambo ya wasanii na usanii wao basi Goodluck yuko sawa kabisa(japo kisheria inaweza kuwa sio sawa)
KWanini mungu wake asingemkataza kabla hajalichukua
Dini ni upuuzi
 
Mwaka 2012 nilienda Kisongo nikitaka niombewe na Nabii Mkuu bila kujua kuwa natakiwa niwe na laki kadhaa kumwona Nabii.... niliishia kupata maombi ya jero kutoka kwa mfanyakazi wa GeorDavie.
Aisee kumbe kumuona naye mpaka hela

Ova
 
Kwamba mtume nae ana mitume wenzake?Huo utume na unabii wameuchota wapi? Kama sio mambo ya wasanii na usanii wao basi Goodluck yuko sawa kabisa(japo kisheria inaweza kuwa sio sawa)
Kisheria anatakiwa kulipa faini uchafunzi mazingira
 
Mwaka 2012 nilienda Kisongo nikitaka niombewe na Nabii Mkuu bila kujua kuwa natakiwa niwe na laki kadhaa kumwona Nabii.... niliishia kupata maombi ya jero kutoka kwa mfanyakazi wa GeorDavie.
Hii ndio siri ambayo wengi hawaijui..anaweka ulimbo kwa kugawa gari kwa msanii mmoja, afu wajinga kadhaa wanapigwa kwa kujipeleka wenyewe ili kuombewa kwa malipo ya kuanzia laki tano
 
Back
Top Bottom