Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Naona kafiri unalalamika tu bila mpangilio wowote. Sitoi maneno kwa sababu ya ushabiki ila naleta vyanzo vinavyokubalika. We leta ushabiki na jahannam itakuwa makazi yako.
Nyoyo yako imeshajaa kutu ya ukafiri. Ni sawa na kuzuia mafuriko kwa mkono ili kafiri kama wewe uelewe.
 

Kwa hiyo unambishia allah aliye waambia waislamu woote finnar jehannam halidina fiha abadan [emoji117] ..hutoki humo tu tubwi [emoji4] kama hujui Mimi kwa allah na baba kassim ni KAFIR Wa UKWELI. Siwezi kumkubali kiumbe yeyote anae itakidi kwamba MWENYEZI MUNGU, Malaika Gabriel, YESU NI MAKAFIRI ref; suratul tawba 30

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20180731_074245_161.jpg
    10 KB · Views: 16
kuna watu wanatapika uovu tu

Kuna wakati,kujadiliana na mjinga,ni sawa na kupoteza wakati


Kwa ujinga huu unaoendelea katika Jukwaa hili

Bora ni Quit,kuliko kupoteza muda na watu wasiojulikana

Namuomba Allah awaongoze katika njia ya sawa,
na awasamehe makosa yenu
 
Nitakubalije kuwa nimekosea wakati hujaweka UKWELI?
 
ndio maana nilikuambia

jifunzo Lugha ya Kiarabu,Kiarabu si sawa kabisa na Kiswahili

Usilolijua,ni sawa na usiku wa kiza

Uliza uambiwe na ufunzwe,usilete uhuni katika Dini
Hii JF ndio madrasa mzuri sikuoni ukifundisha ila milawama tu [emoji12] wengi hawawi waislamu kwa sababu ya waislamu [emoji4]
 
Endelea kuzunguka , hakuna mwanasayansi duniani atakae kuamini kuwa yesu aliuambia mti ukauke halafu ukakauka, kwasababu kisayansi haiwezekani mti ukauke kwa maneno ,hapo vip unawaamini wanasayansi kwenye hili la maneno hayakaushi mti?
wewe mbona huamini Yesu ni Mungu, na wewe ni msayansi?
 
Ahahahahahahahaha unatafsiri Quran kama waraka.wa Paulo , eti halidina fiha abadan zama hizi unamdanganya nani ? maulamaa tunakuungalia unavyofuka moshi
 
vyanzo vipi hivyo?!

umenukuu kwenye Kitabu,kitabu ambacho mwanzo wake mpaka mwisho,hakuna Hadithi mfano wa hiyo uliyoitoa

sasa labda kuna vyanzo vingine ambavyo ww unavijua zaidi

Muhimu tu
Piga picha page nzima ya Kitabu husika,kisha itume hapa
Vyanzo vya Ilimu islam ni qaraa, hadith, na miratul rasul! au na wewe chanzo? sema nianze kukunukuu [emoji4]
 
Hapa nachanganyikiwa tu maana uliyoandika nilikuwa cjui napita tu Mzee sins la kuchangia kama
 
Ahahahahahahahaha unatafsiri Quran kama waraka.wa Paulo , eti halidina fiha abadan zama hizi unamdanganya nani ? maulamaa tunakuungalia unavyofuka moshi
Tangulia jehannam ulamaaa ambaye hujui hata Ilimu wa mama hadi nikitaja shetani unanisahihisha nitamke shehetwain [emoji15] [emoji12] yalaaa [emoji4]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…