mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,169
- 9,054
dogo nenda kachukue udhu [emoji4]Kwa hiyo wewe ni nyani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dogo nenda kachukue udhu [emoji4]Kwa hiyo wewe ni nyani?
Naona kafiri unalalamika tu bila mpangilio wowote. Sitoi maneno kwa sababu ya ushabiki ila naleta vyanzo vinavyokubalika. We leta ushabiki na jahannam itakuwa makazi yako.Hebu msikilize allah kwa kinywa cha baba kassim anavyo wapa muongozo [emoji117] View attachment 859725 kama umejaa povu allah anakuagiza ukachukue udhu [emoji4] unacho andika una tofauti gani na kafiri [emoji47] nimeamini kafiri hana Mkole kama tuwaonavyo wangese!
Naona kafiri unalalamika tu bila mpangilio wowote. Sitoi maneno kwa sababu ya ushabiki ila naleta vyanzo vinavyokubalika. We leta ushabiki na jahannam itakuwa makazi yako.
Nyoyo yako imeshajaa kutu ya ukafiri. Ni sawa na kuzuia mafuriko kwa mkono ili kafiri kama wewe uelewe.
Nitakubalije kuwa nimekosea wakati hujaweka UKWELI?Ww kweli mtu wa ajabu sana?!
ulete uongo wako,
kisha uniamuru mm,uongo wako niusahihishe?!!
Kubali kwanza kama ww umekosea,kwa kutuma uongo
kisha rejea kwenye kitabu tena na usome kwa mara ya pili au soma zaidi hata mara sabini...kisha tuletee kilichosahihi
Hii JF ndio madrasa mzuri sikuoni ukifundisha ila milawama tu [emoji12] wengi hawawi waislamu kwa sababu ya waislamu [emoji4]ndio maana nilikuambia
jifunzo Lugha ya Kiarabu,Kiarabu si sawa kabisa na Kiswahili
Usilolijua,ni sawa na usiku wa kiza
Uliza uambiwe na ufunzwe,usilete uhuni katika Dini
Kwani la Jana ulijibu?Sijakuelewa mantiki yako ndg!!!!
la jana hatujalimaliza
unataka nisahau?!!!!!!
Kama huoni hoja wee pofu [emoji12]Hoja yako iko wap? mtu wa kwanza adam kaumbwa kwa udongo , halafu tuliofata ni manii sasa hapo kuna hoja au unaunga unga tu
Hujui vyanzo vya Ilimu islam eeh [emoji15] [emoji12]Vyanzo gani wewe wacha porojo unakuja na maandiko ya Vatican unaita hadithi
Kwa hiyo reha chafu wewe kwako ubani [emoji15] [emoji47]Reha ndio matapishi gani bwana mdogo?
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Maneno mbofu mbofu tupa kule
wewe mbona huamini Yesu ni Mungu, na wewe ni msayansi?Endelea kuzunguka , hakuna mwanasayansi duniani atakae kuamini kuwa yesu aliuambia mti ukauke halafu ukakauka, kwasababu kisayansi haiwezekani mti ukauke kwa maneno ,hapo vip unawaamini wanasayansi kwenye hili la maneno hayakaushi mti?
Ahahahahahahahaha unatafsiri Quran kama waraka.wa Paulo , eti halidina fiha abadan zama hizi unamdanganya nani ? maulamaa tunakuungalia unavyofuka moshiKwa hiyo unambishia allah aliye waambia waislamu woote finnar jehannam halidina fiha abadan [emoji117] ..hutoki humo tu tubwi [emoji4] View attachment 859775 kama hujui Mimi kwa allah na baba kassim ni KAFIR Wa UKWELI. Siwezi kumkubali kiumbe yeyote anae itakidi kwamba MWENYEZI MUNGU, Malaika Gabriel, YESU NI MAKAFIRI ref; suratul tawba 30
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Vyanzo vya Ilimu islam ni qaraa, hadith, na miratul rasul! au na wewe chanzo? sema nianze kukunukuu [emoji4]vyanzo vipi hivyo?!
umenukuu kwenye Kitabu,kitabu ambacho mwanzo wake mpaka mwisho,hakuna Hadithi mfano wa hiyo uliyoitoa
sasa labda kuna vyanzo vingine ambavyo ww unavijua zaidi
Muhimu tu
Piga picha page nzima ya Kitabu husika,kisha itume hapa
Sio siamini , Yesu mwenyewe hajawai fundisha huo upuuzi wa kuwa yeye ni Mungu, hizo ni imani za majalalaniwewe mbona huamini Yesu ni Mungu, na wewe ni msayansi?
Hakuna hoja ni uwezo wako mdogo wa kudadavua mamboKama huoni hoja wee pofu [emoji12]
Bureee kabisaaaaa ahahahahahahahahahahahaVyanzo vya Ilimu islam ni qaraa, hadith, na miratul rasul! au na wewe chanzo? sema nianze kukunukuu [emoji4]
Tangulia jehannam ulamaaa ambaye hujui hata Ilimu wa mama hadi nikitaja shetani unanisahihisha nitamke shehetwain [emoji15] [emoji12] yalaaa [emoji4]Ahahahahahahahaha unatafsiri Quran kama waraka.wa Paulo , eti halidina fiha abadan zama hizi unamdanganya nani ? maulamaa tunakuungalia unavyofuka moshi
Inachoma kama pasiii[emoji38] [emoji38] [emoji38]