Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Lete ushahidi kuwa huyo dada ametumika , mambo ya Salman Rushdie ushahidi upo wa kitabu chake ukitaka nikuwekee uchafu alioufanya nitakuwekea ushahidi
We umeambiwa na kitabu chako cha Qurani kuwa, ili iliamini tendo la uzinzi au ugoni lazima uwapate mashahidi watatu walioshuhudia tukio hilo ndipo uliamini.
Sasa wewe mbona unaliamini hili tukio bila ya hao mashahidi watatu ?
Au kama una mashahidi japo wawili walioshuhudia tukio hilo ulilo leta, basi weka hapa hao mashahidi tuwasikilize.
Kuamini tukio la uzinzi au ugoni bila kuhakikishiwa na mashahidi wengine ni kinyume na imani ya Uislamu.
 
Nani kakwambia Mohammad ni roho takatifu? kijana Mohammad ni mtume na nabii wa Mungu na tena amemtaja Yesu kama Mungu anavyotaka na kama yesu alivyofundisha kuwa yeye (yesu) ni mtu alietumwa na Mungu, hayo mengine uliyoyazungumza porojo na makelele tumeshakufundisha sana lakini uelewi
 
Hata biblia inafundisha hivyo tena sio uzinzi uovu wowote lazima kuwe na mashahidi ndio mtu huyo awe na hatia , nje ya hapo ni uzushi
 
Sasa endelea na kumuita yesu Mungu hata hilo andiko linakwambia kuna amri ya Mungu , na kuna imani ya yesu , hivi wewe hushituki tu au akili yako ipo likizo Yesu ni mtu kama wewe ila yeye kapewa ufunuo , halafu kuhusu wanawake peponi sana tu, au ulitaka tukaimbe kama wewe huko mbinguni ahahhahaha yaani wakristo kujitesa kote mnaenda kuimba Bila shaka bendi yenu itakuwa maarufu
 
Ndio, mbona Qurani tukufu ina mafundisho mazuri tu.
Ni kwamba inabidi uisome bila kuwa na mtazamo hasi.
Niliowauliza wakati huo kuhusu hiyo Sura hawakunielewesha katika level ya kukata kiu yangu ya kuelewa.
 
wayahudi na wewe akili zenu wote sawa si ndio nyie mnasema yesu na Mungu ni sawa ahahahahaahhhah ndio maana nikakwambia mwanafunzi hawezi mzidi mwalimu mda mrefu yesu alishajibu hilo swali
YOHANA 14:28
"Mlisikia ya kwamba mimi naliwaambia , naenda zangu , tena naja kwenu , kama mungalinipenda , mungalifurahi kwa sababu naenda kwa Baba, kwa maana BABA NI MKUU KULIKO MIMI,

ahahahhahahahaha unakaa unajadili ujinga wakati Yesu alishajibu, wewe huwezi kupata andiko lolote litakalo tetea ushirikina wako wa sifa ya Mungu kumpa kiumbe
 
Kwanza umekiri yesu amekuja kwa ajili ya waisrael, nyie wengine ni umbeya na kiherehere chenu wala hawaitaji yaani kiufupi mnajichomekachomeka kama funza, asante sana kuhusu shetani hili tumelizungumza sana kuwa Mungu hajaumba shetani ila shetani ni sifa tu ata ww kakumuita Yesu ni Mungu huo ni ushetani
 


Hivi umekuwa mwislamu ???
 
Si mwislamu na ndio nikakujibu kama hivyo mnavyotaka, sasa lete ushahidi kuwa hakufanya hicho kitendo
Wewe kama unataka kuziamini Clips za video zisizo na ushahidi endelea kuziamini.
 
Wewe kama unataka kuziamini Clips za video zisizo na ushahidi endelea kuziamini.


Mimi sijakuambia naziamini au siziamini , mimi nilitaka kutoka kwako ushahidi kuwa hao jamaa wamempakazia tu kama ulivyosema basi,

Unaona aibu gani kusema kuwa ushahidi sina??
 
Mimi sijakuambia naziamini au siziamini , mimi nilitaka kutoka kwako ushahidi kuwa hao jamaa wamempakazia tu kama ulivyosema basi,

Unaona aibu gani kusema kuwa ushahidi sina??
Mimi siwezi kutolea ushahidi vitu vya kizushi vya mtandaoni
Kama wewe unamwamini huyo msichana wa kwenye Clip ya video basi endelea kumwamini.
 
Tukio lenyewe ni uzushi ndio maana mpaka leo hakuna mkristo yeyote duniani anaeweza kuthibitisha ni muda gani yesu alisulubiwa?
......wala.hawana yakini na lililotukia, bali ni watu wanafuata dhana tuu !
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…