Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Lete ushahidi kuwa huyo dada ametumika , mambo ya Salman Rushdie ushahidi upo wa kitabu chake ukitaka nikuwekee uchafu alioufanya nitakuwekea ushahidi
We umeambiwa na kitabu chako cha Qurani kuwa, ili iliamini tendo la uzinzi au ugoni lazima uwapate mashahidi watatu walioshuhudia tukio hilo ndipo uliamini.
Sasa wewe mbona unaliamini hili tukio bila ya hao mashahidi watatu ?
Au kama una mashahidi japo wawili walioshuhudia tukio hilo ulilo leta, basi weka hapa hao mashahidi tuwasikilize.
Kuamini tukio la uzinzi au ugoni bila kuhakikishiwa na mashahidi wengine ni kinyume na imani ya Uislamu.
 
Hoja yangu ni kwamba Mohamad sio Roho Wa Kweli ama Roho Mtakatifu. Kwasababu hakua na Utakatifu wowote wala Ukweli wowote ulimini kwake.
Alikua mdhambi mzuri sana na muuaji. Alikufa katika Dhambi kwakua hakuliamini Jina pekee la Mwana wa Mungu.
Roho aliyemtaja Yesu ni Yule anayetamkwa kwenye ubatizo.period.
Nani kakwambia Mohammad ni roho takatifu? kijana Mohammad ni mtume na nabii wa Mungu na tena amemtaja Yesu kama Mungu anavyotaka na kama yesu alivyofundisha kuwa yeye (yesu) ni mtu alietumwa na Mungu, hayo mengine uliyoyazungumza porojo na makelele tumeshakufundisha sana lakini uelewi
 
We umeambiwa na kitabu chako cha Qurani kuwa, ili iliamini tendo la uzinzi au ugoni lazima uwapate mashahidi watatu walioshuhudia tukio hilo ndipo uliamini.
Sasa wewe mbona unaliamini hili tukio bila ya hao mashahidi watatu ?
Au kama una mashahidi japo wawili walioshuhudia tukio hilo ulilo leta, basi weka hapa hao mashahidi tuwasikilize.
Kuamini tukio la uzinzi au ugoni bila kuhakikishiwa na mashahidi wengine ni kinyume na imani ya Uislamu.
Hata biblia inafundisha hivyo tena sio uzinzi uovu wowote lazima kuwe na mashahidi ndio mtu huyo awe na hatia , nje ya hapo ni uzushi
 
Hivi jihadi yoote hii unapigania nini??? nii hiyo ahadi famba ya kwenda kukata mauno mbele ya allah huku unapiga [emoji102] baba yake kasimu anavyo serebuka na mke Wa firauni [emoji15] [emoji12] nenda qbar, jolly club, rozana, au dangulo la binti shabani pale kwa mtogole utapata na ziada...halafu kama rozana inapigiwa debe tigo buku jero Voda Nyongeza....[emoji4] kuliko shida yooote mnayo ipata Kugonga kichwa Ardhi sijui kutwa mara ngapi [emoji15] kutwa Mara ngapi masudi [emoji4] kukamuliwa ngama, kugoma kula mchana mwezi Mzima na ushehe [emoji12] ndio sababu Yesu Amesema Hao wanao muabudu shetani hawana Raha [emoji117] View attachment 860014
Sasa endelea na kumuita yesu Mungu hata hilo andiko linakwambia kuna amri ya Mungu , na kuna imani ya yesu , hivi wewe hushituki tu au akili yako ipo likizo Yesu ni mtu kama wewe ila yeye kapewa ufunuo , halafu kuhusu wanawake peponi sana tu, au ulitaka tukaimbe kama wewe huko mbinguni ahahhahaha yaani wakristo kujitesa kote mnaenda kuimba Bila shaka bendi yenu itakuwa maarufu
 
Kwahiyo hilo tukio wewe huwa unalitafsiri vp? Kwa maana ulipohubiriwa na kuanza kusoma vitabu vya kiislamu ukajikuta unaelekea kuicha imani yako ila mtazamo wako juu ya majini ndio iliyokwamisha na kukufanya uache kuendelea kuelewa zaidi na kuamua kubaki na imani yako?

Kwa sababu kama ulivyosema kuwa surat jinn ndio ikawa kikwazo hivyo huko mwanzo ulipoanza kusoma Qur'an ulishawishika kabisa.
Ndio, mbona Qurani tukufu ina mafundisho mazuri tu.
Ni kwamba inabidi uisome bila kuwa na mtazamo hasi.
Niliowauliza wakati huo kuhusu hiyo Sura hawakunielewesha katika level ya kukata kiu yangu ya kuelewa.
 
Biblia Takatifu Haikuandikwa apendavyo mtu wala kukariri...Yesu hana dhambi ni Mkamilifu MWANADAMU gani mwingine ASIYE na dhambi [emoji47] Mayahudi walitaka kumpopoa mawe kwa kusema yeye ni Mungu [emoji117] View attachment 860039 hebu jiongeze badala ya kukumbiuka zile bakora zà makaio kule madrasat humu hakuna bakora hau [emoji4]
wayahudi na wewe akili zenu wote sawa si ndio nyie mnasema yesu na Mungu ni sawa ahahahahaahhhah ndio maana nikakwambia mwanafunzi hawezi mzidi mwalimu mda mrefu yesu alishajibu hilo swali
YOHANA 14:28
"Mlisikia ya kwamba mimi naliwaambia , naenda zangu , tena naja kwenu , kama mungalinipenda , mungalifurahi kwa sababu naenda kwa Baba, kwa maana BABA NI MKUU KULIKO MIMI,

ahahahhahahahaha unakaa unajadili ujinga wakati Yesu alishajibu, wewe huwezi kupata andiko lolote litakalo tetea ushirikina wako wa sifa ya Mungu kumpa kiumbe
 
Hata sisi WaKisto Tunafahamu fika pasi na Shaka kwamba Yesu Kristo alikuja kwa ajili ya Waisraeli. Ni kawaida kunukuu Vifungu MBALIMBALI ILI kuthibitisha Hilo
[emoji116] [emoji116]
Yohana 1:11-12
[11]Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea. [12]BALI WOTE waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, NDIO WALE WALIAMINIO JINA LAKE;
[emoji115] [emoji115]
Zingatia hapo juu anasema "wale waliaminio Jina Lake" tu.



Angali akitaka WaIsraeli kumpokea. Yesu KRISTO alikua na The Biggest Plan ahead ya kueneza Injili Ulimwenguni Kote.
[emoji116][emoji116]
Mathayo 10:18
nanyi mtachukuliwa mbele ya maliwali na WAFALME kwa ajili YANGU, kuwa ushuhuda KWAO NA KWA MATAIFA.

[emoji115] [emoji115]
Huu ujumbe unathibitisha unabii wa Roho mtakatifu kupitia Simeoni kua Yesu ndiye Nuru ya Mataifa yote duniani.

Simeon anena hapa chini[emoji116] [emoji116]
Luka 2:32
Nuru ya kuwa mwangaza wa Mataifa, Na kuwa utukufu wa watu wako Israeli.


Nabii Isaya naye alimtabiria Yesu vivyohivyo..
[emoji116] [emoji116]

Isaya 42:1
[1]Tazama mtumishi wangu nimtegemezaye; mteule wangu, ambaye nafsi yangu imependezwa naye; nimetia ROHO YANGU JUU YAKE; naye atawatolea mataifa hukumu.


Yesu anaTOA unabii kuhusu Injili.
[emoji116] [emoji116]
Mathayo 24:14
Tena HABARI NJEMA YA UFALME ITAHUBIRIWA katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa MATAIFA YOTE; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.

Marko 13:10
Na SHARTI Injili ihubiriwe kwanza katika mataifa yote.

Yohana 12:46
Mimi nimekuja ili niwe nuru ya ulimwengu, ili kila mtu aniaminiye mimi asikae gizani.

Yohana 3:18
Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini JINA LA MWANA PEKEE WA MUNGU.

Mathayo 21:9
Na makutano waliotangulia, na wale waliofuata, wakapaza sauti, wakisema, Hosana, Mwana wa Daudi; ndiye mbarikiwa, yeye ajaye KWA JINA LA BWANA; Hosana juu mbinguni.


Mathayo 28:18-20
[18]Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
[19]Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
[20]na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.


Bear in mind anapozungumzia Mataifa hazungumzii kua atakomboa na Mashetani ili yamrudie Mungu. Kristo amekuja Kukomboa wanadamu tu, aliewaumba kwa mfano wake na kuwapulizia na Pumzi akafanyika ScapeGoat kwaajili yao.

Yesu Kristo ni Adui Mkuu wa Mashetani na Baba wa Uongo na muuaji yote. Na Jina lake halitakwi na mashetani. Kwakua ni Jina Kuu Sana na Takatifu sana.
Kwanza umekiri yesu amekuja kwa ajili ya waisrael, nyie wengine ni umbeya na kiherehere chenu wala hawaitaji yaani kiufupi mnajichomekachomeka kama funza, asante sana kuhusu shetani hili tumelizungumza sana kuwa Mungu hajaumba shetani ila shetani ni sifa tu ata ww kakumuita Yesu ni Mungu huo ni ushetani
 
We umeambiwa na kitabu chako cha Qurani kuwa, ili iliamini tendo la uzinzi au ugoni lazima uwapate mashahidi watatu walioshuhudia tukio hilo ndipo uliamini.
Sasa wewe mbona unaliamini hili tukio bila ya hao mashahidi watatu ?
Au kama una mashahidi japo wawili walioshuhudia tukio hilo ulilo leta, basi weka hapa hao mashahidi tuwasikilize.
Kuamini tukio la uzinzi au ugoni bila kuhakikishiwa na mashahidi wengine ni kinyume na imani ya Uislamu.


Hivi umekuwa mwislamu ???
 
Wewe kama unataka kuziamini Clips za video zisizo na ushahidi endelea kuziamini.


Mimi sijakuambia naziamini au siziamini , mimi nilitaka kutoka kwako ushahidi kuwa hao jamaa wamempakazia tu kama ulivyosema basi,

Unaona aibu gani kusema kuwa ushahidi sina??
 
Mimi sijakuambia naziamini au siziamini , mimi nilitaka kutoka kwako ushahidi kuwa hao jamaa wamempakazia tu kama ulivyosema basi,

Unaona aibu gani kusema kuwa ushahidi sina??
Mimi siwezi kutolea ushahidi vitu vya kizushi vya mtandaoni
Kama wewe unamwamini huyo msichana wa kwenye Clip ya video basi endelea kumwamini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom