Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.

Yesu alitangaza anaye nishuhudia nina dhambi anyooshe kidole [emoji117] nyoosha dole la kati gavana [emoji53] [emoji12] sasa Mwizi, muongo, au angalia hii personal profile [emoji117] unataka tumuiteje [emoji47] mtakatifu baba fatuma [emoji47] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 

Mtu aliopanda baba kassim umesha zaa haya matunda [emoji117] huyu sijui kakosa nafasi [emoji117] unaonaje hapo kibuzi marka [emoji38] [emoji38]
 
Kisla kisla wee umepatia wanakuona sawa na dr of divinity [emoji4] kale tano msikitini gavana [emoji12]
 
Ndio, mbona Qurani tukufu ina mafundisho mazuri tu.
Ni kwamba inabidi uisome bila kuwa na mtazamo hasi.
Niliowauliza wakati huo kuhusu hiyo Sura hawakunielewesha katika level ya kukata kiu yangu ya kuelewa.
Tatizo la hili suala la majini ni chanzo cha hao majini,yani wewe unapoona ugumu kuelewa kwamba katika kundi la waasi kuna waasi wema,hiyo ni kwa sababu ya kwamba kwako chanzo cha majini ni malaika waasi hivyo ni ngumu hapo kupatikana wema. Halafu wengine nao huona ugumu kuelewa kwamba majini ni malaika waliyoasi, hiyo ni kwa sababu kwao malaika si kama binaadamu kwamba anauwezo wa kuamua kufanya jema au uovu na ndiyo inakuwa ngumu kuambiwa kwamba katika malaika kuna ambao waliweza kumuasi Mungu.

Kwahiyo hapo wengine huelewa majini ni moja ya viumbe vilivyoumbwa na Mungu kama Mungu alivyoumba malaika na binaadamu,na wengine huelewa majini si aina ya tofauti ya viumbe vilivyoumbwa na Mungu bali ni kundi tu miongoni mwa malaika hawa hawa waliyoumbwa na Mungu.
 

Unatujazia server tu kafir mkubwa wee [emoji57] [emoji12] hata hili [emoji117] hujui [emoji47] [emoji12]
 

Attachments

  • IMG_20180908_154531_785.jpg
    16.8 KB · Views: 19
Hayo ndio mafundisho sahihi ya Yesu, hizo blah blah zenu hajawai fundisha uzushi wa kujiita Mungu
Kachukue udhu Wa Kiroho NDIPO UTAJUA [emoji4] sio huo wenu Wa Maji ya kisima kata.3 ukikosa Maji eti dongo [emoji12]
 
Alivyo na uchu baba kassim anaweza kutuhukumu Ukiwa ktk kifo cha mende...[emoji4] afu hii dhakar haitasinyaa milele hiyo ni Raha au karaha [emoji15] [emoji4] Yaani muda woote imesimama [emoji38] [emoji38] aliye mbele yako achunge mvutu na wewe wa nyuma yako achunge mvutu...[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hizi tunaita porojo uharo
Kataa kama hakughani sura ya makafir...tuwekee sasa imeshuka wapi sababu ya kushuka na baba fatuma kaifundishaje [emoji4] au kama hiyo sura ni wakati alipo logwa na Yahud laabid sema[emoji4]
 
Kubali kwanza Yesu Ana Baba [emoji15] Mtoto Wa kiume UNAKUWA mnafiki mnafiki [emoji15] [emoji12] [emoji12]
 
Kataa kama hakughani sura ya makafir...tuwekee sasa imeshuka wapi sababu ya kushuka na baba fatuma kaifundishaje [emoji4] au kama hiyo sura ni wakati alipo logwa na Yahud laabid sema[emoji4]
Ndio umeandika nini? mbona havina maana au ili mradi uandike tu Ahahahaha
 
Kubali kwanza Yesu Ana Baba [emoji15] Mtoto Wa kiume UNAKUWA mnafiki mnafiki [emoji15] [emoji12] [emoji12]
Ahahahahhhaha punguza jazba hata Israel ni watoto wa mungu hata Wewe ni mtoto wa Mungu sasa ubaba huo hauna shida, ubaba wenye shida ni wa Bikira maria mama wa Mungu hizi ndio kufuru mnazofundishana , yaani ni upuuzi mtupu mbona ww ni mtoto wa Mungu lakini mbona mama yako haitwi mama wa Mungu? msipoacha kufuru hizo mtapata tabu sana
 
Inasinyaa ile iweje wakati ni utamu mtupu , ahahahahahaha wewe endelea kukausha makoo na nyimbo huko mbinguni , unajitesa kumbe mwisho wa siku ni minyimbo ndio zawadi yenu pole sana
 
Kachukue udhu Wa Kiroho NDIPO UTAJUA [emoji4] sio huo wenu Wa Maji ya kisima kata.3 ukikosa Maji eti dongo [emoji12]
Ndio wala hakuna shaka ila muache kumtangazia yesu uzushi ambao katu ajawahi kuifundisha maisha yake yote ,eti Yesu ni Mungu huo ni umbeya na uzushi mnaompakazia yesu ww na genge lako
 
Unatujazia server tu kafir mkubwa wee [emoji57] [emoji12] hata hili [emoji117] View attachment 860550 hujui [emoji47] [emoji12]
Ezekiel 18:20(Mwana hatauchukua uovu wa baba yake,wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe, Haki yaki mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake) hilo andiko liko vizuri kabisa mwenye macho na aone endeleeni kuaminishana ujinga kuwa Yesu kafa kwa ajili ya dhambi zenu ahahahahahaahaha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…